1. Ana malezi mazuri, huwezi mkuta kwenye usutwa wowote ule
2. Bado bikra yake ipo(Japo sijawahi kukagua, naambiwa tu)
3. Hana njaa, ni yule binti nikitoka nae, hakubali nilipe bill. Anaomba alipe yake na mi yangu.
4. Pia ni mzuri, na zaidi, hajajichubua.
5. Ana kazi yake,
Japo nimekumbuka naota mchana kweupe, niambieni Hongera kaka