Mke wangu afariki akiwa bikra

Mke wangu afariki akiwa bikra

mapenzi mi hisia zinazo umiza lakini hazi choshi. Mnamo mwaka 2009 nilipo anza kidato cha kwanza ndipo nilipo anza mahusiona ha mapenzi nilijikuta nikianza kupenda bint aitwae Halima ambae ametoka shule jirani na kuhamia ktk shule nilikuwa nikisoma . kiukweli nilimpenda sana nae alinipenda sana yani kiufupi tulipendana nalengo letu nikuja kufunga ndoa, pia tulikubaliana kuwa hatutafanya tendo la ndoa mpaka tutakapo funga ndoa . tuliweza kudumu katika uchumba ndani ya miaka 4 bila kufanya tendo la ndoa kiukweli tulivumiliana na hatimae malengo yetu yalitimia na tukafunga ndoa ile siku ambayo tunatoka funga ndoa wakati tunarudi nyumbani ndipo ilipotokea ajali mbaya ya gari yetu kupasuka tairi ya mbele na mkewangu akapoteza maisha hapohapo yani iliniuma sana nikaapa kuto kuja kupenda tena ila kwa sasa najikuta nikimpenda msichana ambae yupo kidato cha 6 nae ni bikra ila ananiambia nimvumilie mpaka amalize kusoma je nifanyenini wakati nampenda na kuvumilia sitaki tena
Kuna vitu vya kuandika kwa kuigiza lakini siyo hiki ulichokiandika wewe,Mungu akusamehe maana hujui ulitendalo.Unaweza ukaandika kwa kuwafurahisha watu kwa kudhani eti jina lako siyo halisi lakini kumbuka umeandika wewe kama wewe na nafsi itakusuta.Narudia tena Mungu akuhurumie na akufungue ufahamu
 
we sema una demu bk alafu anakuambia mpaka muoane ndo akupe na sio umemuoa na akafa hapo unatuandikia scene ya maisha yako kama INgekua bado haujaoa na tena unaish kwa mamako
 
Mkamaliza form 4 2012 kwa hiyo mkaoana mwaka gani? 2013 au? Kwa hiyo mkaona ni bora kuoana kuliko kusoma maana mngekuwa mnamaliza form 6 mwaka 2014!!!! Yaani O level unawaza kuoa!!! Hakika elimu tunaichezea!!!! Endelea kuichezea na ya huyu wa form 6!!!
 
Kichwa cha habari na maudhui yaliyomo yanaonesha mleta uzi hayupo siriasi. Jiandae kupokea mrejesho wa mzaha wako...
 
naona umeingia jana tu. ungesoma kwanza mazingira ya humu, utapata shida sana. pole kwa mkasa, anyway.
 
Pole sana mkeo moja kwa moja peponi anaenda
 
Mkamaliza form 4 2012 kwa hiyo mkaoana mwaka gani? 2013 au? Kwa hiyo mkaona ni bora kuoana kuliko kusoma maana mngekuwa mnamaliza form 6 mwaka 2014!!!! Yaani O level unawaza kuoa!!! Hakika elimu tunaichezea!!!! Endelea kuichezea na ya huyu wa form 6!!!

mi nimefanya mahesabu nikaona hayaji.

Nikaona isiwe shida, sitaumiza kichwa. lol
 
Sheikh wangu weye wafaa kuwa padre au mtawa...Tafadhali simamia hapohapo nami nakupa tano....Usichepuke subiri......
Mapenzi mi hisia zinazo umiza lakini hazi choshi.

Mnamo mwaka 2009 nilipo anza kidato cha kwanza ndipo nilipo anza mahusiona ha mapenzi nilijikuta nikianza kupenda binti aitwae Halima ambae ametoka shule jirani na kuhamia katika shule nilikuwa nikisoma .

Kiukweli nilimpenda sana nae alinipenda sana yani kiufupi tulipendana nalengo letu nikuja kufunga ndoa, pia tulikubaliana kuwa hatutafanya tendo la ndoa mpaka tutakapo funga ndoa .

Tuliweza kudumu katika uchumba ndani ya miaka 4 bila kufanya tendo la ndoa kiukweli tulivumiliana na hatimae malengo yetu yalitimia na tukafunga ndoa ile siku ambayo tunatoka funga ndoa wakati tunarudi nyumbani ndipo ilipotokea ajali mbaya ya gari yetu kupasuka tairi ya mbele na mkewangu akapoteza maisha hapohapo yani iliniuma sana nikaapa kuto kuja kupenda tena ila kwa sasa najikuta nikimpenda msichana ambae yupo kidato cha 6 nae ni bikra ila ananiambia nimvumilie mpaka amalize kusoma je nifanyenini wakati nampenda na kuvumilia sitaki tena.
 
dah! msimshambulie huyu jamaa, yaonyesha nae ni bikira pia....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom