ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Kama 2009 ulikuwa kidato cha kwanza inamaanisha ulimaliza 2012,una umri gani? Au ndo utunzi wa bila maandalizi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hajasema kama alimalza f4
Kama 2009 ulikuwa kidato cha kwanza inamaanisha ulimaliza 2012,una umri gani? Au ndo utunzi wa bila maandalizi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
ukijua unijuze
Hata mimi yamegoma ila njia ya muongo ni fupiDaaah mahesabu yanagoma.....2009 form 1!!!
...dini nyingine wanasema utawakuta peponi...
...siliaz, wanasema mabikira 72 utapewa peponi...Alaa,Dini gani tena hiyo mkuu,Upo serious?
Mapenzi mi hisia zinazo umiza lakini hazi choshi.
Mnamo mwaka 2009 nilipo anza kidato cha kwanza ndipo nilipo anza mahusiona ha mapenzi nilijikuta nikianza kupenda binti aitwae Halima ambae ametoka shule jirani na kuhamia katika shule nilikuwa nikisoma .
Kiukweli nilimpenda sana nae alinipenda sana yani kiufupi tulipendana nalengo letu nikuja kufunga ndoa, pia tulikubaliana kuwa hatutafanya tendo la ndoa mpaka tutakapo funga ndoa .
Tuliweza kudumu katika uchumba ndani ya miaka 4 bila kufanya tendo la ndoa kiukweli tulivumiliana na hatimae malengo yetu yalitimia na tukafunga ndoa ile siku ambayo tunatoka funga ndoa wakati tunarudi nyumbani ndipo ilipotokea ajali mbaya ya gari yetu kupasuka tairi ya mbele na mkewangu akapoteza maisha hapohapo yani iliniuma sana nikaapa kuto kuja kupenda tena ila kwa sasa najikuta nikimpenda msichana ambae yupo kidato cha 6 nae ni bikra ila ananiambia nimvumilie mpaka amalize kusoma je nifanyenini wakati nampenda na kuvumilia sitaki tena.