Mke wangu afariki akiwa bikra

Mke wangu afariki akiwa bikra

dogo ulijuaje km hako kabint kako hakakupgwa mamboz na mijamaa ya ktaan kwao? Halaf unaweza kunpa direct evidence kujustfy kuwa vdem vyako vyote n vbikra, mabikra wote waliishia enz za mwl, we ngoja wenzio wa2pie......
 
We dogo kadanganye kwenu kama ulianza form one mwaka 2009 shule ulimaliza lini na ndoa ulifunga lini?

Au umesoma memkwa?

mazafanta.
 
Okey, kwa hiyo hapa unataka kusema mkeo kafa bikira na umepata bikira, kwa hiyo unazali na mabikira.
 
Kama 2009 ulikuwa kidato cha kwanza inamaanisha ulimaliza 2012,una umri gani? Au ndo utunzi wa bila maandalizi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwishen...chili..kibolibo
2009 form one mmmmmh
Jipange kudanganya
 
Hapa MMU kuna vijitu viongo viongo kama huyu mbulula...

Nyambafuuu
 
Kwenye harusi mkatoka na speed gani ya kupasua tairi hadi mtu afe? Kanisa lilikuwa tarime mjini na nyumbani kiabakari?
 
Dah...siku nyingine uanze na shkamoo...madogo wa siku hz bana ni hatari tupu ebu peleka kule facebook
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom