Mke wangu afariki akiwa bikra

Mke wangu afariki akiwa bikra

ina maana na wewe ni bikra???

HUJAWAHI KUKUTANA NA HILI NENO papuchi???

kabla hujajibu hili swali labda nikuulize tena
ALIEGUNDUA MAZIWA ALIKUA ANAMFANYA NINI NGOMBE

papachu sijawahi kukutana nalo bana
 
...dini nyingine wanasema utawakuta peponi...
 
mapenzi mi hisia zinazo umiza lakini hazi choshi. Mnamo mwaka 2009 nilipo anza kidato cha kwanza ndipo nilipo anza mahusiona ha mapenzi nilijikuta nikianza kupenda bint aitwae Halima ambae ametoka shule jirani na kuhamia ktk shule nilikuwa nikisoma . kiukweli nilimpenda sana nae alinipenda sana yani kiufupi tulipendana nalengo letu nikuja kufunga ndoa, pia tulikubaliana kuwa hatutafanya tendo la ndoa mpaka tutakapo funga ndoa . tuliweza kudumu katika uchumba ndani ya miaka 4 bila kufanya tendo la ndoa kiukweli tulivumiliana na hatimae malengo yetu yalitimia na tukafunga ndoa ile siku ambayo tunatoka funga ndoa wakati tunarudi nyumbani ndipo ilipotokea ajali mbaya ya gari yetu kupasuka tairi ya mbele na mkewangu akapoteza maisha hapohapo yani iliniuma sana nikaapa kuto kuja kupenda tena ila kwa sasa najikuta nikimpenda msichana ambae yupo kidato cha 6 nae ni bikra ila ananiambia nimvumilie mpaka amalize kusoma je nifanyenini wakati nampenda na kuvumilia sitaki tena

Mimi nilikuwa sitongozi wala siongei sana. Nilikuwa nachukua. Nimewahi bikiri zaidi ya wasichana watano. Mabira huwa hawakubali kirahisi. Unawapa tu ushawishi wa kuwa faragha. Kubalianeni kwenda taratibu, baada ya maji kuingia kabla ya tendo huwa bikira inaoza. Halafu "tusu". Usitamke kuoa. Ndoa itakuja yenyewe tu. Sali sana kupata mchumba mwema kwani Huletwa na Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom