Mke wa Rais ni MJAMZITO?

Discussion:- mke wa mtu ni mjamzito so what?? wewe unatakaje?? ajabu iko wapi???
 
kwani ni tasa hadi tushangae? yani cha ajabu ni nini kama ana mimba? mwanamke rijali aliyeolewa na mwanaume rijali na wanalala wote kila siku cha ajabu ni nini kuwa mjamzito? is it really an issue? wacheni kutupotezea muda wajameni lol

Cha ajabu hapa ni kwamba, inakuwaje tuingozwe na rais ambaye bado ni kijana sana kiasi bado ana majukumu makubwa kwa familia,

Ikitokea mtoto amelala anaumwa wote wawili wakashindwa kulala usiku kucha na kesho yake wana majukumu ya kitaifa, hapo itakuwaje?

Tunahitaji rais ambaye masuala ya kuzaa ameisha funga na sasa anataka kulitumikia taifa zaidi.
 
Hongera FL

Hii ni "news" na ni "concern" - Hata mke wa Rooney alipokuwa mjamzito iliandikwa sana kwenye magazeti na kusomwa sana!

Mke wa Rais anapokuwa mjamzito lazima ieleweke kuwa JK atapungunza uwezo wake wa kutumikia wananchi waliompigia kura na kukaa karibu na MKE wake. Kwa ustaarabu wa kawaida tuongelea almost 25% ya muda wake wa kazi utaelekezwa kwenye familia

Baba _Enock tafadhali usivunje mbavu!! Ni nani amekuambia kuwa Muungwana atapoteza 25% ya time yake ya kazi kwa mtoto mpya? Si kweli kabisa? Si wa kihivyo?!!! Ila kama ni watoto anawapenda but mengine ni mama ataachiwa tu?!!! Sitataka kusema mengi ni privacy yake but u know composition ya watoto wake!!! But kama kweli first lady is expecting ni vizuri sana!! Si ajabu! Na viongozi wengi mbona wapo hivyo tu tena wa nchi za dunia ya kwanza, sembuse sisi?
 
.....Waaaaiiit a Moment, Pleasee! Mtoa hoja ana hoja fulani hata kama kai-represent vibaya. labda kinachowasumbua watu ni lugha iliyotumika. Mke wa raisi kuwa pregnat ni news! This is not just another woman, She is the First lady for Christ sake, everything regarding her is news! She is mirror of our women society.If she she gets pregnant at +50 we should be asking why coz kila dakitari bingwa wa magonjwa ya akina mama atakuambia kuwa pregnancy at +50 cud be dangerous to the mother, we shud be asking ourself why shud our first mama be put into a dangerous health stuation at this Sunset time of her age! Surely, it is not that she and our mzee needs a children? l
akini pia hata huku uswahili kwetu watu wanamuangalia vibaya mama ayeyote mbaye anaendelea kuzaa at +50 sawa na bint yake wa miaka 20! Nani amsaidie nani?? lakini Mwisho kabisa kama tayari ana watoto +4 or 5 atawezaje kusimama kuwashauri akina mama wengine uzazi wa nyota ya kijani wa kuzaa watoto unaoweza kuwatimizia mahitaji tu, wakati yeye she is still going on kuijaza dunia at +50 ??? come on wote mliocharukia mtoa hoja, surely you can do better than that!!!
Sina hakika kama ni mirrow kwetu sisi wanawake wa kisegesye...kwanza hata hatumjui wala hatujui anafanya nini...sisi kioo chetu ni wa bibi zetu wa zamani tuliona hapa,tunaoishi katika mazingira haya
50+ could be dangerous but couldnt be dangerous depending on the circumstance...yes could be but not always
Wala hana influence ya kutushauri juu ya uzazi wa mpango kihivyo....waume zetu ndio wana determine haya saa nyingine unapewa dawa clinic unazichukua kuwaridhisha manesi ukifika nyumbani unazitupa ****** maana baba akijua kuwa natumia pills ndoa ina sheki....anataka watoto zaidi hasa wakiume na nina wakike 4 tayari hana mpango nao anataka tuzae mpaka wapatikane madume matatu haya nafasi ya salma iko wapi?
mambo haya ya uzazi wa mpango yamejikita zaidi katika structure za kifamilia sana influence ya awareness and education ndogo

'CHANGANYA NA ZA KWAKO"
 
Haya ni yaleyale huluka ya kujadili mambo mepesi mepesi, huu ni upuuzi wa hali ya juu sana.Kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna kipengele ambacho kinamzuia mke wa Rais kubebe ujauzito? p'se just come with facts kwenye katiba kuna kipengele No... kinasema mke wa Rais hatakiwi kubeba Mimba, Vinginevyo haya yatakuwa majungu na it won't take you anywhere.Tuna vitu vingi sana vya kuwahabarisha watumiaji wa hii blog na hili lako, na halikustahili uliweke kwenye habari Mchanganyiko hata kidogo.Haya yote ni matokeo ya watu kuwa na ufinyu na uvivu wa kufikiri, kama mtu unafikiri vyema, hili linatkiwa lionekane kenye magazeti ya udaku na lakini siyo humu.
 
Back
Top Bottom