.....Waaaaiiit a Moment, Pleasee! Mtoa hoja ana hoja fulani hata kama kai-represent vibaya. labda kinachowasumbua watu ni lugha iliyotumika. Mke wa raisi kuwa pregnat ni news! This is not just another woman, She is the First lady for Christ sake, everything regarding her is news! She is mirror of our women society.If she she gets pregnant at +50 we should be asking why coz kila dakitari bingwa wa magonjwa ya akina mama atakuambia kuwa pregnancy at +50 cud be dangerous to the mother, we shud be asking ourself why shud our first mama be put into a dangerous health stuation at this Sunset time of her age! Surely, it is not that she and our mzee needs a children? l
akini pia hata huku uswahili kwetu watu wanamuangalia vibaya mama ayeyote mbaye anaendelea kuzaa at +50 sawa na bint yake wa miaka 20! Nani amsaidie nani?? lakini Mwisho kabisa kama tayari ana watoto +4 or 5 atawezaje kusimama kuwashauri akina mama wengine uzazi wa nyota ya kijani wa kuzaa watoto unaoweza kuwatimizia mahitaji tu, wakati yeye she is still going on kuijaza dunia at +50 ??? come on wote mliocharukia mtoa hoja, surely you can do better than that!!!