Na hii vidole juu type imekaa vipi?she is the vidole juu type ... kila kitu yeye .. utamwambia nini
she is the vidole juu type ... kila kitu yeye .. utamwambia nini
i mean she cant stay still in a box ... she wants to be recognized kwa lazima .. seems she has a lot of rivals so she wants to secure her position ... heard one time she nearly tripped on the red carpet because of mbwebwe ... she gombeyad some position in lindi jumbani kwao cant remember what .. she's the hungry type .. you remember when Amina (Mungu amrehemu) tried to advise her ... eeeeh she collected all her vidole juu group wakamponda mtoto wa watu ... guess if you can really read btn the lines you can tell it straight from her face on the telly wherever she appears
Do you have anything against Her Execellency the First Lady?Actually am not sure if she is the first lady or the last lady coz so many rumors of First Ladies here in Arusha.
Issue hapa sio mapenzi, bali ni hizo kazi alizokuwa nazo sasa, Je zina manufaa kwa Taifa?Huyu ni mama wa kiswahili kama walivyo waswahili wengi, hupenda kujionyesaha, kutamba nk. Hapa mjini anatusumbua sana na misafara isiyoisha utadhani naye ni kiongozi, lakini inawezekana hawezi kusafiri na mmewe kwani inasemekena mapenzi kati yao yalishafifia siku nyingi, wakiwa pamoja ni maigizo tu!
............huyu mama sasa inabidi atulie kwa kuwa ANAKARIBIA KWENDA LABOR....AT least misafara isiyokuwa na kichwa wala miguuu itapungua mjini!!!!!!
...