Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,818
- 9,813
😅Acha utoto
Sawa na baba yakoBosi una umri gani kwanza ?
NakaziaAcha utoto
Kutiana ni utoto?Acha utoto
Mshauri hivyo hivyo 😂Bosi una umri gani kwanza ?
Lakini kila mtu hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa,halafu ile tamaa ikishachukua mimba huzaa dhambi,na ile dhambi ikishakukomaa huza mauuti (Yak.1:14-15)....Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.
Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.
Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉
OkayLakini kila mtu hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa,halafu ile tamaa ikishachukua mimba huzaa dhambi,na ile dhambi ikishakukomaa huza mauuti (Yak.1:14-15)....
YBWYBNakazia
Umetafakari vipi na uzi umewekwa sasahivi? Sema umewaza.Nimetafakari sana, ila ukikua utaacha
Muda si mrefu utakula shaba dalili hizo si nzuri! Kila lakheriWakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.
Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.
Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉
Hii kanuni uishikilie kwa nguvu "mke wa mtu ni sumu ". Kwaheri.Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.
Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.
Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉
Okay okayHii kanuni uishikilie kwa nguvu "mke wa mtu ni sumu ". Kwaheri.
Hapo ni kuchagua moja unaomba connection ya Harmonize na wewe utifuliwe tope au unalinda mgongo unachagua kipi?Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉