Mkuu, mm naona unachelewa bure kumweleza ukweli rafiki yako. Fanya haraka. kwa mawazo yake huyo mwanamke anaweza kuwa anafikiri anamkomoa mmewe! ona sasa anavyojikomoa mwenyewe!!!Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
Uko sahihi kabisa mkuu.nna wasiwasi wameanza hata kabla hajapata kazi hapo. kama bosi ni fc na yeye yupo accounts, kuna uwezekano walianza mapema na ndo aliyemsaidia hata kupata kazi.
Haitarudisha siku nyuma! Muhimu nikumwambia mshikaji wake, amwache Tu Bi Mdada a enjoy maisha!hivi kwann usianze kwanza na kumshauri mke wa rafiki yako?
mwambie huyo bibie kwamba anayetoka naye ameumia, ili sasa ajipime kwanza yeye.
Ungekuwa Greta think a ungenielewa. lakini ngoja nikusaidie. maana yangu ilikuwa huyu mleta mada anataka kumsambazia uzushi MTU Fulani kuwa anavirusi vya Ukimwi bila ya kumpima au kuwa na uthibitisho wowote. watu wengi wamekuwa wahanga wa up is hi kama huh.Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.
Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.
Ungekuwa Greta think a ungenielewa. lakini ngoja nikusaidie. maana yangu ilikuwa huyu mleta mada anataka kumsambazia uzushi MTU Fulani kuwa anavirusi vya Ukimwi bila ya kumpima au kuwa na uthibitisho wowote. watu wengi wamekuwa wahanga wa uzushi kama huh.Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.
Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.
Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.
Inaweza pia kuwa ni majungu ikawa mbaya zaidi.
Yote yanawezekana ndio chanzo cha kumpa kazi labdanna wasiwasi wameanza hata kabla hajapata kazi hapo. kama bosi ni fc na yeye yupo accounts, kuna uwezekano walianza mapema na ndo aliyemsaidia hata kupata kazi.