Mke wa rafiki yangu

Mke wa rafiki yangu

Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...

Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.

.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..

Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..

Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..

Kabla hujaandika huku ungeshamwambia kabisa,
Maana hatari kubwa, we mwambie Nimesikia Mkeo kaajiriwa shirika fulani ambalo FC wake ni wembe halafu tayari ni RED, so kama vipi mpime mkeo, nimemaliza tusilaumiane, Mjumbe hauawi"
 
mwambie haraka sana huyo jamaa yako...maana huyo mwanamke ukimuambia itazua mtafaruku na itaonekana we unamzibia riziki....mwambie kamada fastaajue kuhandle issue
 
hekima itumike unapomweleza ukweli
Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...

Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.

.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..

Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..

Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
 
Chukua uwamuzi haraka wa kumwambia kabla hawajasuruhisha na kurudiana. Ukimwi noma wakuu
 
"Mpende rafiki yako kama nafsi yako, Manuu"
 
Tumia busara ya kumwambia kwa kuwa wamekaa muda mrefu kwenye utengano, ni vizuri wakapime kwanza afya zao
 
inafika wakati na wew ukue bado hujamwambia tuu wewe arifu utupe na mrejesho kabsa
 
Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...

Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.

.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..

Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..

Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
Mkuu tupe mlejesho ulishughulikiaje hili swala
 
Duuh mweleze tu ukweli koz huondio urafiki wa kweli kabla haja pata majanga pia
 
Yaani kwa sasa uaminifu NI JANGA LA TAIFA. Wewe unayeenda kumwambia waweza kuta kuna mtu anajiandaa kuja kukwambia kuhusu mkeo. HAYA MAMBO HAYA...........

MWAMBIE ILI UMWOKOE-KAMA HATAKUELEWA, ACHANA NAYE NA URAFIKI UISHIE HAPO HAPO. AKIELEWA IT WILL BE TOO LATE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom