Mke wa rafiki yangu

Mke wa rafiki yangu

Unatakiwa kutumia maneno ya hekima kumweleza maana kila binadamu ana namna yake ya kupokea jambo.
 
Bora amchane bila chenga hii tabia ya kuzungukazunguka inaweza sababisha jamaa akapuuzia ikala kwake
naona kama kumchana live halafu ukute ni issue ya kizushi jamaa yake ataona kama jamaa anamtaka mkewe
 
Cha msingi jiridhishe kwanza kwamba hizo taarifa zina ukweli pasipo na shaka, baada ya hapo mwambie kuhusu hiyo issue
Kama ukisoma vizuri FC alimuonyesha huyo jamaa picha mke wa rafk yangu akiwa na nguo za ndani tu na ni mazingira ya nyumbani kwa FC...Hakika nitamweleza ahakikishe wanaenda pima kabla ya kufanya chochote maana kuna tetesi mbaya juu ya wife ake na akitaka kujua sana ntamwleza tu liwalo na liwe..
 
jf bhana,kuna watu mnavituko hadi raha! wewe hutaki kujadili mada unataka kumjadili mleta mada! hatari....Manuu uje ujibu tuhuma hapa
Watu kama hawa huwezi wakwepa kwenye jamii....Tunakomaa nao tu mdogo mdogo na ndiyo mawazo yake hayo..
 
Hakika nitamweleza kuna kama tetesi na akihitaji kujua sana na nikiona hana wenge ntampa black and white..
Mpe black and white, ukisema kama tetesi mwenzio hatachukulia serious tena anaweza kumwambia mkewe na mwanamke akufanye wewe ndo mbaya anaweza hata kusema unamtaka au unahusika na kutaka kuwaachanisha.
 
Jamaa yako hapigi sehemu nyingine toka mke wake aondoke? Kama anapiga, kuna usalama kiasi gani? Haya mambo ni magumu sana.

Mtu mzima atajua mwenyewe namna ya solve masuala yake.
Really? Chukulia ndiyo rafiki yako yuko kwenye situation hii unadhani uliyo yaandika yatakuwa applicable kweli?
 
Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...

Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.

.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..

Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..

Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
Wewe ni mwanaume, nimekupenda huna haja ya kuogopa, mwambie hali halisi ila usiseme kama umeambiwa na rafiki yako wa hapo hapo kazini, mwambie tu mkeo kuna mtua kamuhadithia, sasa huyo mume fanya uchunguzi wako pia, ila swala la kupima ni la msingi, utakuwa umeokoa hao watoto kuja kuteseka kwa kukosa malezi ya wazazi wote 2 japo kuugua UKIMWI si kufa.
 
Wewe ni mwanaume, nimekupenda huna haja ya kuogopa, mwambie hali halisi ila usiseme kama umeambiwa na rafiki yako wa hapo hapo kazini, mwambie tu mkeo kuna mtua kamuhadithia, sasa huyo mume fanya uchunguzi wako pia, ila swala la kupima ni la msingi, utakuwa umeokoa hao watoto kuja kuteseka kwa kukosa malezi ya wazazi wote 2 japo kuugua UKIMWI si kufa.
Umesema vema..
 
naona kama kumchana live halafu ukute ni issue ya kizushi jamaa yake ataona kama jamaa anamtaka mkewe
Alienieleza ni mtu namwamini kwa asilimia nyingi kidogo na alinieleza kwa uchungu sana haswa baada ya kuonyeshwa picha ya huyo mke wa rafiki yangu akiwa na nguo za ndani tena kwenye mazingira ya nyumbani kwa FC...Ishu hapa ni jinsi jamaa atakavyo respond....Ila nitamweleza tu..
 
hivi kwann usianze kwanza na kumshauri mke wa rafiki yako?
mwambie huyo bibie kwamba anayetoka naye ameumia, ili sasa ajipime kwanza yeye.
Nadhani akigundua tu nimejua hatopokea ushauri wangu in a positive way na anaweza nijengea kashfa ya mimi kumtaka na it's too late maana jamaa alipika na kupakua nae toka ijumaa mpaka jpili...
 
Ukimuokoa kwa ili daima hatakusahau. Kaa nae sehemu chini umwelezee taratibu,
 
Alienieleza ni mtu namwamini kwa asilimia nyingi kidogo na alinieleza kwa uchungu sana haswa baada ya kuonyeshwa picha ya huyo mke wa rafiki yangu akiwa na nguo za ndani tena kwenye mazingira ya nyumbani kwa FC...Ishu hapa ni jinsi jamaa atakavyo respond....Ila nitamweleza tu..
uhuuu mimi naogopa
 
Duh maskini dada wa watu! Ajali haina kinga sijui ni tamaa ya pesa au nini!?
 
khaaa! unasubiri nini asee, unafikiri ni DENGUE hiyo?
mwambie jamaa mkewe sasahivi papuchi yake ina virus kama laki kwaio akimgegeda tu ajue atakwaa kama buku! fanya haraka kabla hajamgegeda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom