Si pesa ni familia iliyobarikiwa mno..Mbali na pesa ya mme wake na yeye alikuwa ana kazi iliyokuwa inamlipa ela ndefu sana na hii aliyoipata nasikia analipwa vizuri mno...Labda alishindwa ku-control hisia zake za ngono...Ama ni kama kulipiza kisasi kwa jamaa...Sijui niniDuh maskini dada wa watu! Ajali haina kinga sijui ni tamaa ya pesa au nini!?
khaaa! unasubiri nini asee, unafikiri ni DENGUE hiyo?
mwambie jamaa mkewe sasahivi papuchi yake ina virus kama laki kwaio akimgegeda tu ajue atakwaa kama buku! fanya haraka kabla hajamgegeda!
Lazima nimweleze jamaa..Nimedhamiria..Duu hiyo ni hatare mkuu...mjulishe jamaa haraka..
Akimwambia kuwa akapime bila kumwambia kuwa mke wake anatembea na mtu mwenye ngoma hasara yake ni kuwa jamaa naweza asitilie maanane na kuacha kwenda kupima!!!katika suluhu ya kurudiana mwambie tu rafiki yako ni bora mkapima kwanza kabla ya kuanza kufanya tendo si lazima umweleze kuwa mkeo ametembea na mwathirika ..... ila kama akitia ngumu mwambie pia wanawake wa siku hizi si wale wa zamani ambao ni wavumilivu wengi wanagawa tu bila aibu.. jamaa yako ajiongeze apime asipo fanya hivyo shauri yake
jamani sasa itakuwaje basi amwambie ukweli tuAkimwambia kuwa akapime bila kumwambia kuwa mke wake anatembea na mtu mwenye ngoma hasara yake ni kuwa jamaa naweza asitilie maanane na kuacha kwenda kupima!!!
Love is no longer sweet!!Mmmhhmmm.... This is something else... Kwa kweli sheria ipitishwe for the people like huyu Kaka...Duuh.,.Thanks...
Sina maneno mengi sina, ila hongera kwa uamuzi huo! Mueleze haraka sanaWamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
For what I know kuhusu some women.. Huyo mke akifuatwa na huyu kaka kuambiwa ukweli , anaweza kwenda kumuambia mumewe rafiki yake amemmtongoza na alitaka alale nae.. Some women are very complicate hawapendi kusikia ukweli..mwishowe atachonganisha urafiki wao na mume kuishia kupata HIV... Some women are snake very snake ... Acha shetani atutumie.. I think kama ni rafiki WA kweli , amfuate rafiki yake with evidence na umuambie ukweli then huyo mume achague ... Akiaamua kuwa na mkewe bila kupima shauri yake ... But the truth been told .... Thanks ..hivi kwann usianze kwanza na kumshauri mke wa rafiki yako?
mwambie huyo bibie kwamba anayetoka naye ameumia, ili sasa ajipime kwanza yeye.
Inaweza pia kuwa ni majungu ikawa mbaya zaidi.Cha msingi jiridhishe kwanza kwamba hizo taarifa zina ukweli pasipo na shaka, baada ya hapo mwambie kuhusu hiyo issue
Kwahiyo kama ni HIV+ basi asiweze kuwasaidia wengine? Unaonekana ukipata janga fulani huwezi kuelekeza wengine wasipite hapo...hiyo ndo maana yake.mleta mada, kabla ya kumtonya rafiki yako, nakushauri ungeenda kwanza kupima afya yako. unaweza kuwa bize na afya za watu kumbe yako pia inamgogoro.
Kwa kuambukiza HIV kwa makusudi no love afungwe tuu ... Even though wife ni mkosaji pia , wife nae pia aachwe tuu.... Thanks ..Love is no longer sweet!!
Ana kisasi akifikiri anamkomoa jamaa wake.Atakuwa aliumizwa.Jamaa anajirudi na ashachelewa tayari,,na ndoa ikiwa ya kikristo ni Kisiki.Huyo jamaa asiambiwe face to face atumiwe sms,,kama Inawezekana picha Watsup bibie akiwa na jamaa mara mbili au tatu zinatosha.Duh maskini dada wa watu! Ajali haina kinga sijui ni tamaa ya pesa au nini!?