Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

usifanye huo ni upuuzi itakugharimu mbele ya safari.
 
Hahaa!kuwa makini nahawa washauri wako!usiambiwe kula nawe!ukala, kwani kila! mla chamwenziwe nachake pia huliwa!je ?ndugu yangu ukotayari!kumegewa ?
 
Kaka!kuwa makini kwani kila mla chamwenziwe nachake pia huliwa!je ukotayari kumegewa ?
 
Angalia sana wakikufumania na Wewe watakukata kizinda tu
 
nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wangu.....

We kula baba. Majuto ni mjukuu.
 
Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang

tayar ushamtaman, maana unasema kaumbika zaidi ya mchumba wako
 
Back
Top Bottom