Mke wa polisi amtokea puani


" Polisi huyo alikuwa akinifuata mara kwa mara na kuniambia kuwa niachane na mwanamke huyo, lakini kwangi ilikuwa ngumu kwa sababu tulipendana sana " alisema kijana huyo.
Kuonyesha kuwa Amina kweli alikuwa na upendo wa kweli basi waendelee na mapenzi hapo ndiyo ntajua kama Amina alikuwa na mapenzi ya kweli kwa huyo kipofu.By the way kusema ukweli huyo polisi alikuwa very smart maana angekuwa mtu mwingine angechoma sindano ya kuua kabisa ama anamwagia tindikali kabisa
 
Magume gume meeeengi hayana watu,
kwa nini ung'ang'ane na mke wa mtu?akome kabisa shenzi zake.
 
dah...safi sana .unataka haki gani sasa hapo?..wakati mwenye mali akidai haki yake uliziba maskio.ulikuwa kama kenge usiyesikia mpaka utwoke na damu masikion..mwache rais wetu aangaike na katiba mpya.
 
mim na pendekeza iundwe tume ya kuchunguza wezi wa wake za watu na wanaume wa watu..kiongozi huyo polic na kundilake..adhabu hiyo ya sindano zinazipofusha macho inafaa sana.
 
Acheni kumsumbua kikwete kwa kumuomba msaada kwa kila kitu.Wewe ni kama jambazi aliye jeruhia kwenye kituo.Japo si vizuri kuchukua hatua mkononi lakini likisha kutokea kaa hivyo unadai haki ya nini?
 
Back
Top Bottom