Mke wa pili ni sawa na simba awindae kimya kimya

Alikuwa akinisumbua sana na nikahisi anaenda kwa mashehe kuniroga ndio mmoja wa wazee wangu akanishauri kuwa nenda kamuwahi.

Nikaenda nikashindilia vata akawa mpole na analea watoto wake bila bughuza.

Nimeamini kuwa bila kuwaroga wanakuroga.
Mwemwemweeeee!!! Kwa mashehe kukuroga?
 
Tena ile Vita ya ghuba ya uajemi kutopata ambae kidogo mnaendana ndio mambo hayo badala mkae mfikiri maisha wote mnafikiri mambo ya kurogana hapo hata ukiacha mali kabla haujazikwa watoto wanaanza migogoro ya kugawana na kuuza kumbe matatizo uliyaanzisha mwenyewe mwanzo...
Kuna Mzee kafa mkoani huko, sasa mtoto mkubwa yupo mjini , hao waliobaki watoto wa mke mdogo na mkubwa ni walikuwa wanagombana huko! Kabla hata hajazikwa, Wakamwambia tunakusubili uje uamue kawambia wakati mnakula Mali za baba yenu mbona hamkunisubilia
 
Back
Top Bottom