Mke wa pili ni sawa na simba awindae kimya kimya

Mke wa pili ni sawa na simba awindae kimya kimya

Kuna mbaba nilikutana naye huko kwenye mishw za kuchoronga ana wake wawili..siku 1 nikamuuliza unawezaje kuishi nao wote wawili ? Alinipa jibu 1 .ukitaka kuishi na wake wawili WAFITINISHE kila siku...usiwafanye wawe marafiki🤣! Alichofanya .amefind line nyingine ameisave jina la mke mdogo...so anajitumia sms kumkashif mke mkubwa alafu anaiacha sehem anajua wife mkubwa atashika🤣! Na akikaa na mmoja anasema mwenzako jana kasema hivi na hivi anampa bonge ya shutuma haahaa .! Then anaisolve kijuu juu bas kila mtu ana hasira na mwenzake!lol..mna kazi
Mzee wa Busara huyo😁
 
Mbona madingi kibao tu wanadanji na ka mke kamoko tu,inshu kuwapata wanawake waelewa na walioelimika,yaanj vimke viwili tu vikuue wakati kuna vidume vina wake 16 uko,ebu acha udhaifu,akili ya kuambiwa changanya na yako,

Sent from my Infinix X5516B using JamiiForums mobile app
 
Ndoa za wake wengi zimeegemea kwenye upande wa stara na sio upendo........

Kiimani ni jambo sahihi( kwa wenye imani) lakini kiuhalisia linaenda kiunafiki sana......ni mfano wa mtu ambaye amekinaiwa na kitu alichokizoea na kutamani kitu kipya.....

Kwa upande wa mwanamke ni kama tusi kwake na inahitaji moyo wa chuma kulipokea.......kwa nje ni ndoa lakini kwenye mioyo ya wanawake wengi ni kama wapo gerezani......

Unahitajika umakini mkubwa na hekima kubwa na ukatili kiasi hadi kufikia maamuzi ya kuongeza mke wa pili.....
inawezekana mbona Dr mwaka anao watatu tena ataongeza na wanne
 
Tena ile Vita ya ghuba ya uajemi kutopata ambae kidogo mnaendana ndio mambo hayo badala mkae mfikiri maisha wote mnafikiri mambo ya kurogana hapo hata ukiacha mali kabla haujazikwa watoto wanaanza migogoro ya kugawana na kuuza kumbe matatizo uliyaanzisha mwenyewe mwanzo...
hata ndoa ya mke mmoja matatizo ya urithi yapo
 
Shida moja kwa Wanawake wanashikiliwa akili na wakwao na wewe unataka mji wako uwe imara

Sio uwe ATM ya Mama mkwe badala ya kujijenga wewe na familia yako unajenga Milima ya Usambara
Nina ndugu yangu kaoa huko yaani mmm mke hata wazo wanunue kauwanja kutwa kuzurula kwa ndugu zake kwenye nashughuli na akiwa kwake ndugu kibao wamejazana sijui hawanaga kazi watu!
 
Nina ndugu yangu kaoa huko yaani mmm mke hata wazo wanunue kauwanja kutwa kuzurula kwa ndugu zake kwenye nashughuli na akiwa kwake ndugu kibao wamejazana sijui hawanaga kazi watu!
Ameshaliwa Timming huyo,Nenda kamzindue.
 
Kuna mbaba nilikutana naye huko kwenye mishw za kuchoronga ana wake wawili..siku 1 nikamuuliza unawezaje kuishi nao wote wawili ? Alinipa jibu 1 .ukitaka kuishi na wake wawili WAFITINISHE kila siku...usiwafanye wawe marafiki[emoji1787]! Alichofanya .amefind line nyingine ameisave jina la mke mdogo...so anajitumia sms kumkashif mke mkubwa alafu anaiacha sehem anajua wife mkubwa atashika[emoji1787]! Na akikaa na mmoja anasema mwenzako jana kasema hivi na hivi anampa bonge ya shutuma haahaa .! Then anaisolve kijuu juu bas kila mtu ana hasira na mwenzake!lol..mna kazi
Ujinga mtupu zee zima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom