Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Haaa haaa haaa nilikuwa sijui jamani!Sio dhuluma wao wakikupatia mwanya wanakufanya Zezeta sasa unatakiwa unawawahi ili kugeuza kibao
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Haaa haaa haaa nilikuwa sijui jamani!Sio dhuluma wao wakikupatia mwanya wanakufanya Zezeta sasa unatakiwa unawawahi ili kugeuza kibao
Sasa hapo upo kwenye ndoa ama vitani?Sio dhuluma wao wakikupatia mwanya wanakufanya Zezeta sasa unatakiwa unawawahi ili kugeuza kibao
Wanawake wa Tanga huwa wanakuwa wamezindikwa halafu anakuja amejiandaaHaaa haaa hapo utajuta mwenyewe akishazinduka
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Maisha ya leo ndugu ni Vita baridi mnalala kitanda kimoja ila ni Maadui wabobeziSasa hapo upo kwenye ndoa ama vitani?
mzee una wake wawili! hongeraKijana sisi tunavuta Trela mbili huu ni mwaka wa ishirini
Tumesharogwa na uchawi wa kila aina ila bado tunachoronga mitambo tu
Mbona unanitishaMaisha ya leo ndugu ni Vita baridi mnalala kitanda kimoja ila ni Maadui wabobezi
Shida moja kwa Wanawake wanashikiliwa akili na wakwao na wewe unataka mji wako uwe imaraMbona unanitisha
Kuna mbaba nilikutana naye huko kwenye mishw za kuchoronga ana wake wawili..siku 1 nikamuuliza unawezaje kuishi nao wote wawili ? Alinipa jibu 1 .ukitaka kuishi na wake wawili WAFITINISHE kila siku...usiwafanye wawe marafiki🤣! Alichofanya .amefind line nyingine ameisave jina la mke mdogo...so anajitumia sms kumkashif mke mkubwa alafu anaiacha sehem anajua wife mkubwa atashika🤣! Na akikaa na mmoja anasema mwenzako jana kasema hivi na hivi anampa bonge ya shutuma haahaa .! Then anaisolve kijuu juu bas kila mtu ana hasira na mwenzake!lol..mna kaziAlikuwa akinisumbua sana na nikahisi anaenda kwa mashehe kuniroga ndio mmoja wa wazee wangu akanishauri kuwa nenda kamuwahi
Nikaenda nikashindilia Vata akawa mpole na analea watoto wake bila bughuza
Nimeamini kuwa bila kuwaroga wanakuroga
Akili za kimasikini hizi kbsNUKUU: mke mmoja anadumaza
Its true kwa hili aise....! Dah🙌Maisha ya leo ndugu ni Vita baridi mnalala kitanda kimoja ila ni Maadui wabobezi
Kuna watakao pinga lakin huu ndio ukwelNdoa za wake wengi zimeegemea kwenye upande wa stara na sio upendo........
Kiimani ni jambo sahihi( kwa wenye imani) lakini kiuhalisia linaenda kiunafiki sana......ni mfano wa mtu ambaye amekinaiwa na kitu alichokizoea na kutamani kitu kipya.....
Kwa upande wa mwanamke ni kama tusi kwake na inahitaji moyo wa chuma kulipokea.......kwa nje ni ndoa lakini kwenye mioyo ya wanawake wengi ni kama wapo gerezani......
Unahitajika umakini mkubwa na hekima kubwa na ukatili kiasi hadi kufikia maamuzi ya kuongeza mke wa pili.....
😂Mwanaume akiongeza mke lazima ana kauwezoAkili za kimasikini hizi kbs
Kuna mbaba nilikutana naye huko kwenye mishw za kuchoronga ana wake wawili..siku 1 nikamuuliza unawezaje kuishi nao wote wawili ? Alinipa jibu 1 .ukitaka kuishi na wake wawili WAFITINISHE kila siku...usiwafanye wawe marafiki[emoji1787]! Alichofanya .amefind line nyingine ameisave jina la mke mdogo...so anajitumia sms kumkashif mke mkubwa alafu anaiacha sehem anajua wife mkubwa atashika[emoji1787]! Na akikaa na mmoja anasema mwenzako jana kasema hivi na hivi anampa bonge ya shutuma haahaa .! Then anaisolve kijuu juu bas kila mtu ana hasira na mwenzake!lol..mna kazi
Tena ile Vita ya ghuba ya uajemi kutopata ambae kidogo mnaendana ndio mambo hayo badala mkae mfikiri maisha wote mnafikiri mambo ya kurogana hapo hata ukiacha mali kabla haujazikwa watoto wanaanza migogoro ya kugawana na kuuza kumbe matatizo uliyaanzisha mwenyewe mwanzo...Sasa hapo upo kwenye ndoa ama vitani?
Nyie ndo chanzo ya yote hayo!Mbona unanitisha
KiajeNyie ndo chanzo ya yote hayo!