Mke wa pili ni sawa na simba awindae kimya kimya

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Baba yangu aliwahi nambia, usije thubutu kumuacha mkeo kwa sababu zako binafsi, ukaoa mke mwingine na usije thubutu kumuongezea mkeo mke wa pili.

Kiukweli wakuu, kama mtatoa muda wa kutafakari sanaaaa baadhi ya vifo vya wanaume wengi hapa duniani hususani tanzania yetu, vifo vingi sana vya wanaume walofanikiwa kimaisha kisha wakaamua kumuacha mke walosota naye kutafuta maisha na kuoa mwanamke mwingine, au kuongeza mke wa pili.

Basi siku mwanaume huyu akifa, kama sio kifo cha haki, basi kuna uwezekano mkubwa wa mke wa pili kuhusika na kifo hicho.

Kwanini mke wa pili? Kwa sababu anakuwa hana uchungu na wewe, mara nyingi wanaolewa kwa sababu hasa hasa za kimaisha yaaan hakupendi isipokua hamna namna.

Kiukweli kabisa, ukiachana na masuala ya kidini, hamna mwanamke anayependa kua mke wa pili, kila mwanamke anataman ammiliki mumewe yeye mwenyewe kwa kua wameumbwa na moyo ulojawa na wivu.

Ukikuta anataman kua mke wa pili, basi anakua kuna kitu kilichombana kiasi kwamba anaona "nipo tayari "kubadili" dini, nipo tayar kua "hata" mkeo wapili" (na huyu ukishindwa kumuoa, utasikia anasema "nizalishe basi niwe na mtoto wako"

Tena bora ya hawa ambao toka wanazaliwa dini inawafunza kua mke wa pili, au watatu au wanne. Lakini hawa wengine ukishamuoa au kumfanya mchepuko, atataka sasa aingilie mpaka ya ndani mpaka mgombane na mkeo mkubwa n.k n.k

Embu fanyeni utafiti, angalieni vifo vyenye ukakasi, ukakasi huo ulitokana na nani?
 
Inaonesha Kuna kitu kimekutokea but haujaweza kukisema moja kwa moja umebakia kuzunguka zunguka tu, funguka
 
Hakuna mwanaume apendae kuvuta semitrela mbili sema sababu tu ya kero za mke wa kwanza.

Mimi nasubiria uchumi ukue nivute semitrela ya pili. Reasoning Mbili
1. Mtata, mkorofi, mkali, mjuaji, mtukanaji kukutukania mzazi wako ni sawa na kunywa soda. Hakuna mwanaume awezae ishi nae. Japo mm ni mtaalamu wa saikolojia na nina moyo mkuu wa uvumilivu nimesanda.Kumuacha mtihani ndoa ya kanisani, tumezaa

2. Nawapenda kuwa na watoto wengi
 
Alikuwa akinisumbua sana na nikahisi anaenda kwa mashehe kuniroga ndio mmoja wa wazee wangu akanishauri kuwa nenda kamuwahi

Nikaenda nikashindilia Vata akawa mpole na analea watoto wake bila bughuza

Nimeamini kuwa bila kuwaroga wanakuroga

Aisee kumbe na wanaume nao wanaroga wanawake ndoani . Mnakua mnaliana Timings tu
 
Alikuwa akinisumbua sana na nikahisi anaenda kwa mashehe kuniroga ndio mmoja wa wazee wangu akanishauri kuwa nenda kamuwahi

Nikaenda nikashindilia Vata akawa mpole na analea watoto wake bila bughuza

Nimeamini kuwa bila kuwaroga wanakuroga
Duu kumbe! Hata wanawake wanarogwa? Haya daa kazi sana, hongera! Ila huoni kama ni dhuruma kwake?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Tena ukishawaroga wanakuwa watamu,hakusumbui na kujuombaomba vijihela kila mara au kukununia nunia kunakwisha

Tena yeye ndio anakuwa akikushauri uwe bahili ili usevu fedha

Ila kuna baadhi ya familia huwa wanashtuka halafu wanampeleka kwa waganga na kumzingua

Haswa Wanawake wa Tanga chunga sana
 
Tena ukishawaroga wanakuwa watamu,hakusumbui na kujuombaomba vijihela kila mara au kukununia nunia kunakwisha

Tena yeye ndio anakuwa akikushauri uwe bahili ili usevu fedha

Ila kuna baadhi ya familia huwa wanashtuka halafu wanampeleka kwa waganga na kumzingua

Haswa Wanawake wa Tanga chunga sana
Haaa haaa hapo utajuta mwenyewe akishazinduka

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom