haaaa sasa si ndo mwelekeo huo ama?Mkuu hakuna kilichofanyika ila tu jalibio la tukio tu
MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA IKIMBIENI ZINAA.
NDUGU KAA MBALI NA DHAMBI HII NI TAMU KWA MUDA MFUPI SANA ILA IN MACHUNGU YASIYOFUTIKA
NA PIA KAA MBALI NA MKE WA NDUGU YAKO HATA KAMA ANAKUSHAWISHI WW KATAA
mmmmmm huyo Dada anamuomba maiti Sanda? kakuona na watoto wangapi mpaka anataka mbegu? awache uchangu wake na ukimvua nguo ndio umeshauchamba upupu............
KWAHIYO WEWE NDO WATAKA UMWAGE MBEGU SIO ? HAYA MKUUSiwezi bana...ila wasi wasi wangu ni ndugu yangu kubambikiwa mtoto
Sasa ndg wewe mwenyewe umeshindwa kumzalisha mkeo zaidi ya mwaka halaf unataka uzalishe wa mwingine! We unaona inakuja? Tunga story nyingine basi
HAHAHA USIKASIRIKEMke wangu sijashindwa kumzalisha ila tu kuna matatizo ambayo yametokea siwezi kuyaelezea hapa (sijui wanaosoma kama wahusika wapo)
Ahsante kwa kuandika
MHMkuu ningetaka hata nisingekuja hapa kutaka jinsi gani nimuweke sawa shemeji yangu
NI SAWA!Mkuu nadhani najitahidi kwa kadri ya ninavyoweza shemeji yangu tatizo lake ni la ki saikolojia tu.
Nitajitahidi kumuweka sawa
Wala usijaribu nae,na vile vile usiumize kichwa kua kaka yako atabambikiwa,huyo shemeji yako ana lake jambo yani napata tabu kuamini kua wewe ndio peke yake utakae fanya miujiza,lakini ukikubali tuuu atakupelekesha ujute kumzowea...Anachoamini ni ajaribu kwa mwanaume mwingine lakini anaumia mumewe anampenda anamlipaje upuuzi.
Kama chai vile au?Umetunga
Lakini nguo si anavua mdada mwenyewe? labda pichu tu,sasa upupu utamrukiaje ?mmmmmm huyo Dada anamuomba maiti Sanda? kakuona na watoto wangapi mpaka anataka mbegu? awache uchangu wake na ukimvua nguo ndio umeshauchamba upupu............
unaanza visa vyako hata sisemi kwanza kuna mambo mengine hata kuya think staki naogopa......lolLakini nguo si anavua mdada mwenyewe? labda pichu tu,sasa upupu utamrukiaje ?