Mke wa pacha wangu anataka nizae nae

Sasa ndg wewe mwenyewe umeshindwa kumzalisha mkeo zaidi ya mwaka halaf unataka uzalishe wa mwingine! We unaona inakuja? Tunga story nyingine basi
 
MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA IKIMBIENI ZINAA.

NDUGU KAA MBALI NA DHAMBI HII NI TAMU KWA MUDA MFUPI SANA ILA IN MACHUNGU YASIYOFUTIKA

NA PIA KAA MBALI NA MKE WA NDUGU YAKO HATA KAMA ANAKUSHAWISHI WW KATAA

Mkuu nadhani najitahidi kwa kadri ya ninavyoweza shemeji yangu tatizo lake ni la ki saikolojia tu.
Nitajitahidi kumuweka sawa
 
mmmmmm huyo Dada anamuomba maiti Sanda? kakuona na watoto wangapi mpaka anataka mbegu? awache uchangu wake na ukimvua nguo ndio umeshauchamba upupu............

Anachoamini ni ajaribu kwa mwanaume mwingine lakini anaumia mumewe anampenda anamlipaje upuuzi.
 
Sasa ndg wewe mwenyewe umeshindwa kumzalisha mkeo zaidi ya mwaka halaf unataka uzalishe wa mwingine! We unaona inakuja? Tunga story nyingine basi

Mke wangu sijashindwa kumzalisha ila tu kuna matatizo ambayo yametokea siwezi kuyaelezea hapa (sijui wanaosoma kama wahusika wapo)
Ahsante kwa kuandika
 
Mkuu nadhani najitahidi kwa kadri ya ninavyoweza shemeji yangu tatizo lake ni la ki saikolojia tu.
Nitajitahidi kumuweka sawa
NI SAWA!
IKIBIDI MSHIRIKISHE NA PACHA WAKO ILA KWA HEKIMA NA BUSARA.WATOTO NI BARAKA KUTOKA KWA MUNGU ILA NDOA IPO PALEPALE MAANA NI AGANO

ASIPOHARIBU KWAKO ATAENDA KWA MWINGINE, HIVYO MSAIDIENI ILI NDUGU YAKO ASIJE UZIWA MBUZI KWENYE GUNIA
 
Anachoamini ni ajaribu kwa mwanaume mwingine lakini anaumia mumewe anampenda anamlipaje upuuzi.
Wala usijaribu nae,na vile vile usiumize kichwa kua kaka yako atabambikiwa,huyo shemeji yako ana lake jambo yani napata tabu kuamini kua wewe ndio peke yake utakae fanya miujiza,lakini ukikubali tuuu atakupelekesha ujute kumzowea...
 
mmmmmm huyo Dada anamuomba maiti Sanda? kakuona na watoto wangapi mpaka anataka mbegu? awache uchangu wake na ukimvua nguo ndio umeshauchamba upupu............
Lakini nguo si anavua mdada mwenyewe? labda pichu tu,sasa upupu utamrukiaje ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom