Mke wa pacha wangu anataka nizae nae

Mke wa pacha wangu anataka nizae nae

Tamaa kitu kibaya sana wewe unamtamani mke wa ndgu yko hakuna kingine hapo.....wewe huna mtoto halafu ukamzalishe mke wa nduguyo ili apate mtoto.......ushetani wako ndio unakupa mawazo ya kijinga kumtamani mke wa ndgu wa damu.
Watu kma wewe nikikukuta n mkewe wangu nakushindilia kisu cha kwenye kinyeo
 
Jamaa kaangalia movie ya Van Damme ya Pound of flesh ambapo Van Damme alizaa na mke wa kaka yake na miaka yote ikawa siri kwakuwa kaka yake hakuwa na uwezo wa kuzalisha...ndio kaona aje aitungie stori humu jamvini...hahahahhahahahaa
 
unaanza visa vyako hata sisemi kwanza kuna mambo mengine hata kuya think staki naogopa......lol
Basi njoo PM uyaseme,maana yake huku hakuna mtu atakusikia ila mimi tu mwandani wako au vipi?huku ni FARAGHA yaani full kujiachia,si unajua mimi yale mautamu yetu pale zamaaaani mbona sijamwambia mtu?
 
Back
Top Bottom