Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....
Mme wa mtu ni sumu kali zaidi maana "Mke" wa mtu unaemla hakupi adhabu ila "MME" wake ndio atakufanya ya kukufanya, hapo sumu kali sio mauno ya "Mke" ni atakayokufanyia "Mme" wake
sasa anayestahili laana ni nani hapo, aliyemtembeza mwenzake uchi au aliyekula vya watu?
ningekuwa mimi ningemkata huo mgegedeo kabisaaa.
Na mke nae kama anautaka usalama wake basi apotee kabla sijarudi home.