Mke wa mtu ni sumu

Waambie kwamba, kufuli inayofunguka kila ufunguo ni ya hovyo lakini funguo inayofungua kila kufuli huitwa master.
Kama vile ambavyo "cku ya kufa kwa nyani miti yote huteleza" .... ndivyo itakuwa "funguo malaya" nayo itashindwa kufungua "kufuri" ... hapo c ndo pa KUOMBOLEZA
 
Haikupendeza yeye kumwiba mke wa mwenzie but adhabu hiyo pia haikuwa ya utu .... yaan "dushe" ining'inie mtaa mzima [emoji134] [emoji134]
 
Hiyo ni zaidi ya tetemeko, hapo hamna namna kama wanakula vya watu wapigwe tu
 
Omba ickukute afu mfumaniaji mwenyewe "nati" ziwe zishalegea .... aiseee
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] aina za "genye" .... [emoji1] [emoji1] ndo zmeisha zote mkuu?
 
Wanaume peke yetu ndo tuna ruhusa ya kuishi na mke zaidi ya mmoja toka dunia imeumbwa,hvyo basi mwanaume wa mtu ni maziwa fresh
maziwa mengine ya leo ni ya ki-mwendokasi bwashee .... yamechakachuliwa wala hayatoi sumu [emoji1] [emoji1]
 
Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....

SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
Mime wa mtu inaweza kuwa simu lakini it is not guaranteed. Hata sheria ya ndoa inatambua kuwa ndoa naweza kuwa ya wake wengi (lakini si waume wengi). Hii inaitwa social constructionism yaani ni jamii iliyojenga utaratibu huo.
 
Mrembo kua mpole,nilikula ban baby,uwe standby maana ili kukupoza trip imebadilika,nakupeleka Thailand,Pattaya dream village ukapoze roho yako baby.
Kwakibali cha kutoka wapi hicho? Au thailand ya msamvu??[emoji2]
 
Sijui, maana naweza kuwa nala vya watu lakini sielewi.

Ila kuna kamsemo"cha mtu huliwa na mtu". Najua hata wangu analiwa ila sina uhakika
[emoji1] [emoji1] [emoji1] " cha mtu huliwa na mtu" nimeipenda hiyo .... ngoja nami nijaribu kumla "sakayo" [emoji12] [emoji12]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…