supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mkuu huyo mke wa mtu ana Bango mgongoni? Mm nitamjuaje jamani ? Wakati yeye mwenyewe amekana kwamba hana MTU ?Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....
SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
Sasa ndo utakuwa umeuziwa mbuzi ktk gunia bwashee .... afu mwenye mke wake yeye hiyo "verse" wala haijui .... ni majanga tu ktk mji wa SEPUKAMkuu huyo mke wa mtu ana Bango mgongoni? Mm nitamjuaje jamani ? Wakati yeye mwenyewe amekana kwamba hana MTU ?
Tena usije ukajaribu,mimi sijaribiwi baby.utamaduni uliopo mwanaume anaweza kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja na jamii ikamsifia ila mwanamke akiwa na mwanaume zaidi ya mmoja jamii itamuita malaya
Imekua hivyo tena?mimi wa joshydama
Nimekupenda mamii.Sumu ukishikwa ila kama unacheza mchezo wako vizuri hata hakuna shida
Kwenda zako huko umenichomesha mahindi weekend nzima nikijua naenda dubai yani hufai kabisaaaaNimekupenda mamii.
Mrembo kua mpole,nilikula ban baby,uwe standby maana ili kukupoza trip imebadilika,nakupeleka Thailand,Pattaya dream village ukapoze roho yako baby.Kwenda zako huko umenichomesha mahindi weekend nzima nikijua naenda dubai yani hufai kabisaaaa
Mijini hali inazidi kuwa mbaya zaidi, wamama wengi hawana hata chembe ya uoga, anakupa makavu tuu kama vile si mwanandoa, mbaya zaidi wanaambizana~kuna kijana mmoja aliajiriwa kazini kwetu pale, ndani ya muda mfupi kawapitia kina dada/mama karibia wote (sababu ya msingi=ana dushe la kufa mtu) w.t.f.....!?, kapoteza kazi kizembe kbs
Waambie kwamba, kufuli inayofunguka kila ufunguo ni ya hovyo lakini funguo inayofungua kila kufuli huitwa master.utamaduni uliopo mwanaume anaweza kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja na jamii ikamsifia ila mwanamke akiwa na mwanaume zaidi ya mmoja jamii itamuita malaya
Mume wa mtu danga.Mume wa mtu "BUZI"
NatamiamoImekua hivyo tena?
Ok usijali,ila usiku huu tunabadilisha mtandao.Natamiamo
Ulifanyaje?Sipendagi ahadi za uongoMrembo kua mpole,nilikula ban baby,uwe standby maana ili kukupoza trip imebadilika,nakupeleka Thailand,Pattaya dream village ukapoze roho yako baby.