Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Uzi mwingine kama huu huwa sioni faida zake,kwani dini zote zimekataza hayo mnayoyajadili.Hebu weka Uzi kama vile kuna Mashariki ngapi nakuna Magharibi ngapi duniani ili wataalam na wasomi watujuze tufaidike.

Sasa wewe pakalolo unaota au ?, mambo ya magharibi na mashariki ngapi yanahusiana vp na jukwaa la mapenzi ?, au unazungumzia kona za mbunye ?, maana kwenye mbunye kama ya cute b ina pande 4 mash, magh, kask na kus na zito lazima umfikie la sivyo anatoka nje ya ndoa
 
Hahahahaaaaaahaaaa yaaan mkuu wew adi nimepaliwaa
 
Kuna mrembo hajaolewa?? Warembo wote wameshaolewa hata walioko shule wameshabukiwa.
 
Hivi ni kweli kuwa wake za watu ni warahisi kukubali pindi wanapotongozwa na watu baki?
 
Hivi ni kweli kuwa wake za watu ni warahisi kukubali pindi wanapotongozwa na watu baki?

Unaambiwa hakuna kitu rahisi kama kumtongoza mke wa mtu. Hawasumbuagi hawa ila sharti ndoa yao iwe na kuanzia miaka 5 na kuendelea mana ndiyo kipindi cha wanandoa wengi kuanza kupishana. Ila mkuu usijaribu kumtongoza kipindi wametoka kuona au kubebana ataenda kumwambia mumewe halafu utaliwa tigo yako, ndoa ikiwa changa kila mmoja anakuwa na imani kwamba hawezi kusaliti wala kusalitiw. Yuda mtakatifu alimsaliti Yesu ndio sembuse vizazi vya nyota hivi
 
mbona ni simpo sana ile theory ya mwenye nacho anaongezewa na asiye nacho ananyang'anywa ata kile kidogo alicho nacho inahusika.

Hivi hujiulizi kwann kasi ya kuoa wanawake waliotalikiwa inaongezeka zaid kuliko kuoa mabinti vigori?

Waliotalikiwa wanajua kuhandle coz wana experiance
 
Utam unatokea wap?Kwan hamna kinyaa unajua kabisa mwezio katoka kudumbukiziwa ingine jana usiku??????uwiii nachukia kushare

Upo kama mimi, pale ninapojua fika kuwa mwanaume mwenzangu alipita jana usiku, I swear siwezi hata kuipata hiyo hamu. Sijui wengine hawana kinyaa!!!
 
Unaambiwa hakuna kitu rahisi kama kumtongoza mke wa mtu. Hawasumbuagi hawa ila sharti ndoa yao iwe na kuanzia miaka 5 na kuendelea mana ndiyo kipindi cha wanandoa wengi kuanza kupishana. Ila mkuu usijaribu kumtongoza kipindi wametoka kuona au kubebana ataenda kumwambia mumewe halafu utaliwa tigo yako, ndoa ikiwa changa kila mmoja anakuwa na imani kwamba hawezi kusaliti wala kusalitiw. Yuda mtakatifu alimsaliti Yesu ndio sembuse vizazi vya nyota hivi

Sijawahi hata kuliweka akilini mwangu, wanawake wote waliojaa nianze tu na mke wa mtu. I despise hiyo tabia basi tu.
 
Upo kama mimi, pale ninapojua fika kuwa mwanaume mwenzangu alipita jana usiku, I swear siwezi hata kuipata hiyo hamu. Sijui wengine hawana kinyaa!!!

Inabidi watu wabandikwe ala kwenye paja..like yerstaday used...lakin jaman zana ya mapenzi umegeuka mnooooo....mtu kubadili mwanamke au mwanaume poa tu....utu uko wapi nyie watu wa leo?? Mtu ukiwa msafi hutopenda kuogelea alikoogelea mwenzio......!Tumekuwa tunapenda uchafu kama bata?????mnisamehe nina hasira...
Alafu barabaran ...ofsn...tunaonekana weema....Kumbe ma alshabab wakubwa....!
Mtu jiulize umetembe na mke au mume wa mtu....piga hesabu wewe una wangapi...na yeye ana wangapi toka aanze huo mchezo...ndo ujue nertework yako kubwaa......natamani nichore network za watu zilivokubwa.....utajikuta umetembea mpaka na wazaz wako indirectly!!!
 
Sawa mkuu nimekuelewa nilikuwa na upesi kusoma post yako. Ila ningeomba unifafanulie kidogo unaposema kwa nini wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake walioachika kuliko mabinti vigori ?

nitarudi baadae ..................
 
Back
Top Bottom