Uni mwanitu
Senior Member
- Oct 25, 2014
- 198
- 55
Kwa sababu hawana ghalama vitu vingine (matumizi) anapewa na mumewe. wasio taka kuhonga sana ndo wanapenda wake za watu.
kwani mke wa Pinda anagegedwa na nani nje
Mke mwema anatoka kwa bwana
kwaio hawa wabaya wametoka kwa nani.? mana tunasadiki kua bwana ndie muumbaji wa ulimwengu na viumbe viliivyopo.?
kwani mke wa Pinda anagegedwa na nani nje
Kwa sababu hawana ghalama vitu vingine (matumizi) anapewa na mumewe. wasio taka kuhonga sana ndo wanapenda wake za watu.
Na utamu wa mke wa mtu unanoga zaidi kama mwenye mali akikufuma na tena awe mjeda
wewe ulishawahi kulala na mke wa mtu?
Sababu nu moja tu wanapatikana kwa urahisi,hawasumbui kukubali,pia hawana garama zozote. ila kama hujawahi usijaribu.
mbona ni simpo sana ile theory ya mwenye nacho anaongezewa na asiye nacho ananyang'anywa ata kile kidogo alicho nacho inahusika.
Hivi hujiulizi kwann kasi ya kuoa wanawake waliotalikiwa inaongezeka zaid kuliko kuoa mabinti vigori?