Basi na mme wa mtu ni maziwaMke wa mtu ni sumu!
Basi na mme wa mtu ni maziwaMke wa mtu ni sumu!
Nilishawahi kumgegegeda mmoja ila mwanzo alikuwa amenidanganya kuwa hajaoelewa, nilipogundua kuwa ni mke wa mtu nilishangaa nazidisha hisia kwake. Sasa ndio najiuliza kwanini ukijua ni mke wa mtu unakuwa unampenda zaidi na kumwona wa thamani ?
Si unavuta hisia kuwa unamkomesha mume wake!
Mna Akili Mbovu, Yaani Wanawake Wamejaa Mitaani Mnang'ang'ania Wake Watu, Mabinti Wanajaa Kwa Waganga Wa Kienyeji Kulalamika Kwa Nini Hawatongozwi, Nyie Mnanyoka Na Wake Za Watu, Dawa Yenu Imeishachemka, Nikukatwa Vitendea Kazi Vyenu, Alafu Muende Mkaishi Wote, Pambafu Zenu.
Sio akili mbovu tu spirit of lust inawasumbua wengi ili kuharibu ndoa za watu
Kuna wengine majanga wakipewa za matumizi wanasomesha wadogo zao alafu wewe ukiingia kichwa kichwa unajazia pale alipotoa za mumeweKwa sababu hawana ghalama vitu vingine (matumizi) anapewa na mumewe. wasio taka kuhonga sana ndo wanapenda wake za watu.
Ikitokea wewe umegongewa mke wako na wakati wewe hujawahi kugonga wa mtu utafanyeje ?
Wasemavyo cha wizi ni kitamu zaidi.
Basi na mme wa mtu ni maziwa
Cha kumfanya niku mkalisha chini na kutoa kwanza pepo chafu la uzinifu kwanza likishamtoka akiona mchepuko anatapka kabisa.