miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Haya wandugu,nimepitia ushauri wenu,nitaufuata kuanzia kesho, maana saa hizi,mtoto wa watu yupo ndani ya nyumba. Mnisamehe great thinkers,maana hata nyie huwa mnafanya dhambi hata kama ni tofauti na hii lakini dhambi ni dhambi tu
Mmmmmhh haya kajimegee.....great thinker.