Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Wana JF,,
Mwenzenu sikujua kama demu wangu ni mke wa mtu maana sijawahi kuona dalili yoyote ya kuashiria yeye ni mke wa mtu, (mf pete) mi nakaa Kisongo yeye Ngulelo hapa Arusha. Binti anayajua mambo si mchezo, ninajituma sana tuwapo kitandani.
Siku moja bwana, nikiwa namla, akaniambia: "Unanikamata kiukweli hadi nakosa hamu ya mapenzi kwa mme wangu..."
Ndipo nilipojua kama yeye ni mke wa mtu tena mtamu balaaa..
NAKUA MGUMU KUMUACHA,,,,


Ni kosa lakini pia unahatarisha Maisha yako
 
kifo kinakutafuta au unakitafuta kifo wew mleta hoja?

lipi jibu sahihi.......naomba jibu.
 
siku si nyingi zijazo utakuja kueleza yatakayo kupata toka kwa mumewe.
 
Muoe uwe mume wa pili!

Nilishawahi kuona familia ya design hyo Njiro! Mwanamke na waume zake 2. Wanakaa flat moja! Flat ya juu mume 1 na ya chin mume wa pili na kila mmoja ana watoto wake! Walikuwa ni wahindi.

sasa hapo msamiati wa wivu haupo na sijui uhakika wa kila mwanaume na watoto wake wanajua vip wenyewe!
 
Nilidhani umeshawatafuna hata 10 hivi

Ili upate comparison iliyo sahihi baina ya wake za watu na wanawake wa kawaida ni kundi gani ni 'tam' kama unavyodai

Na kibaya zaidi inaonekana ni huyo mmoja tu ambae una mahusiano nae

Tena ni mjinga sana huyo

Badala awe muwazi kwa mumewe ili arekebishe ndoa yake anarekebisha kosa kwa kufanya kosa

Halafu kwani wewe unadhani ni kitu gani mke wa mtu anacho ambacho wanawake wengine hawana?
 
Siku ukifumwa ukishapata nguvu uje hapa, utuambie ulichofanyiwa.

Sawa kabisa! Coz hakuna aliyeleta uzi hapa na kutuambia kaliwa Minamba (0718) kwa kuchukua mke wa watu! nadhani huyu atakuja tena hapa ili iwe funzo kwa Wengine!
Mi sijaowa na nawaheshim sana wake wa watu, then Mtu aje anichukulie mke wangu, nitambue, niwekee tego anase....!
Mh! Cjui itakuaje! Mungu aniepushe tu!
 
Mkuu kweli unachekesha yaani unafurahia jambo baya, hebu jiweke wewe ndio mume wa huyo mama ungejisikiaje mara baada ya kujua kua mkeo anachukuliwa na flani na tena anajisifia.
 
ni hatari sana , ,,,, halafu hawa wanawake utamu ukiwanogea huwa hawachelewi kuharibu mara dufu huko kwa waume zao........
 
Nyumbani kwangu nina panya wengi sana

Naweza kutuia hiyo sumu kuwaulia?????????????????????????????

i gues u ar out of ur mind,angalia usije kuolewa na wanaume wenzio teteteee
 
Nilishawahi kuona familia ya design hyo Njiro! Mwanamke na waume zake 2. Wanakaa flat moja! Flat ya juu mume 1 na ya chin mume wa pili na kila mmoja ana watoto wake! Walikuwa ni wahindi.

sasa hapo msamiati wa wivu haupo na sijui uhakika wa kila mwanaume na watoto wake wanajua vip wenyewe!

Kweli????
 
Halafu ujue kama hajakwambia kaolewa siku zote hizo anaweza kuwa anajijua ana ngoma na asikwambie vilevile.
 
i gues u ar out of ur mind,angalia usije kuolewa na wanaume wenzio teteteee



Hivi mpaka leo kuna mwanaume mwenye akili timamu anajaa gesi akigundua mkewe anabunjuliwa na mtu mwingine?

I'm not out of my mind

You said by yourself that a somebody's wife is a poison

How bad is it for me to use it?

Or you meant something else?
 
ni hatari sana , ,,,, halafu hawa wanawake utamu ukiwanogea huwa hawachelewi kuharibu mara dufu huko kwa waume zao........

daah!!!!! Hii ni kweli,,,, kuna shemeji angu mkewe alikuwa anatoka nje ya ndoa,,, si akanogewa bhana....... Akaamua kufungasha virago na kuamia kwa 'nyumba ndogo dume'!!! Mume kurudi akakuta mke kesha sepa mapemaaaaaa! Na ameapa kumuadabisha huyo mwizi wake kwa udi na uvumba!
 
Back
Top Bottom