Mke wa mtu mtamu bwana

Manina zako hivi katika wanawake wooote unaona aliyeolewa ndio deal yaani wewe your a living dead.

Uliaamnisha nini hapa mkuu?

Huyu mleta mada itakuwa mimba yake ilitungwa kwa matokeo ya MTUNGO ndio watoto wanamna hio wanavyokuwa
 
Pole sana iko siku utaujua uchungu wake,NA KWA VILE SASA BADO UNAKULA UTAMU ENDELEA
 
Hiyo dhambi haitaisha lazima ikumalize na wewe hata kama hujaoa ukioa tu Mhuuuuuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom