Mke wa Mtu Kapakatwa

Lucy nkya siye!
umetumwa umchafue, mama ameenda age sio kibinti hivyo.
Yuko slowly sio mtu wa chereko.
Si kimbaombao kama huyo. Angalia vizuri mkuu
 
lucy nkya siye!
Umetumwa umchafue, mama ameenda age sio kibinti hivyo.
Yuko slowly sio mtu wa chereko.
Si kimbaombao kama huyo. Angalia vizuri mkuu
hujaelewa somo hapo
 
Uyu jamaa aliyembeba ni yule sita aliyemsifia anajua kuquote vifungu vya kuran na biblia, alimpa airtime siku ya mwisho kufunga bunge, af inaonesha huyu ndo alikua dem ake kipind chote cha bunge
 
Lucy nkya siye!
umetumwa umchafue, mama ameenda age sio kibinti hivyo.
Yuko slowly sio mtu wa chereko.
Si kimbaombao kama huyo. Angalia vizuri mkuu

Mkuu Mtwa unaonaje kama ungesoma tena comment yangu? Ukiwa sober bila hang over za Nyerere day utakuja kuniomba radhi. Ndilumba sana Mtwaveee!
 
Mkuu Mtwa unaonaje kama ungesoma tena comment yangu? Ukiwa sober bila hang over za Nyerere day utakuja kuniomba radhi. Ndilumba sana Mtwaveee!

mambo madogo tusameheane. Kama ndo huyo binafsi nakubali
 
sio sijaelewa Lucy nkya nafahamiana nae. Hata kwa mbaliii nakwambia huyu ndiye ama siye

Issue ni kwamba hakuna aliyesema kwamba huyo anayedhaniwa ni Lucy Nkya ndiye aliyepakatwa la hasha ila ndiye anayeonekana kwamba anataka kuokoa jahazi kwa kumuomba jamaa aliye jirani na mpakataji amshushe chini mpakatwaji kwani ni kujidharirisha. Ila wewe umeelewa tofauti mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…