Mke wa mtu kaniletea msala

Inatakiwa tumreport kwa Moderators hata kama anafanya au anadanganya, hili la kutaja watu moja kwa moja ni baya sana kwani litasababisha kuvunja ndoa, mauaji na kashfa kwenye jamii. Unasema mmemfira mke wa mtu tena unaweka na code nyingi wazi hii sio sawa. Anachofanya sio sahihi.
Huyo jamaa ukisoma machapisho yake mengi kila kitu kaweka hadharani, hii ni hatari kwa afya ya wahusika na hata yeye mwenyewe,
Sijui anafanya makusudi au ni uzwazwa unamtesa.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa mikasa yako huwaga ni story za eric shigongo., Mwenye kufikwa na shida hawezi kujianika kiasi hiki (code ziko open),maana lazima awe na hofu ya kuchotwa kama maji kwenye mtungi na kuhalalisha kuwa hii ni chai umetaja na sehemu ambayo upo kwa sasa wakti umeshaharibu., Itoshe kusema wewe ni mtunzi wa hadithi na hii si ya kwanza kuiona kutoka kwako.

Amevuruga location yake. Umakuta yupo mbeya huyu au mtwara
 
Habarini za weekend Watanganyika, mwaka Jana nilikutana na dada mmoja mmoja Wilayani Bunda ambaye mmewe ni mmiliki wa hiace zinazoenda bunda-kibara-kisorya. Baada ya kupeana mawasiliano tukaanza chats za hapa na pale. Baada ya kuwa tumezoeana sana akaanza kulalamika kwamba mmewe kapata chombo kipya dada Fulani mtumishi wa serikali mpaka yeye kamtelekeza kiaina na hata haki yake ya ndoa anaipata kwa shida hata mara moja moja kwa mwezi tena kwa malumbano.Baada ya kama miezi mitatu tukaanza mahusiano ya kimapenzi,ambapo huyo dada aliamua kuniachia Kila kitu kwenye mwili wake ambapo nilikula mpaka mtandao wetu pendwa kama mara nne hivi.

Muda mwingi tulikuwa tukitaka kuwasiliana nilikuwa namtafuta kupitia messenger na siyo kwenye text za kawaida kwa kuhofia mumewe kumkamata. Wakati mwingine kama haupo hewani nilikuwa namtuma family friend wao mmoja ambaye ni mkubwa kwake kiumri na ambaye pia kaolewa.

Sasa kuanzia March mpaka mwezi May mwaka huu mawasiliano yetu yakawa ya kusua sua, nikahisi pengine na masuala ya ubize kuingiliana maana kuna kipindi nilikimbia kwenda maeneo ya mgodi wa buhemba kuhangaika na utafutaji.

Sasa Jana nilimcheki messenger na pasipo kumuuliza chochote nikamrushia picha yangu nikiwa kitandani, nikajibiwa nice. Nikajiuliza mbona siyo kawaida yake kujibu kimkato hivyo. Ilikuwa mida ya saa 5:20 usiku, ilipofika mida ya saa 5:27 nikapigiwa simu kupitia fb messenger, sikujibu.

Nikaangalia profile aliyepiga ni mmewe. Nilimfahamu maana yule dada alikuwa tayari kashanitumia picha zake. Leo kuanzia asubuhi mpaka muda huu jioni kashanipigia mara 32 messenger na ninahisi aliichukua simu ya mkewe.

Sasa najiuliza kama kachukua simu ya mkewe na ikiwa atazama messenger kusoma text zote mke atakuwa kwenye hali gani maana mle kuna Kila aina ya uchafu kuanzia kutumiana picha chafu, video chafu kusifiana uchafu wetu wote.

Lakini pia atakuwa kamfahamu family friend wao mmoja ambaye mbali ya kuwa wanasali kanisa moja hapa mjini pia ni mama anayejiheshimu sana kimuonekano na pia ndie tulikuwa tunamtumia kwa mambo yetu mfano mimi kumpa vizawadi na kupeleka kwa mchepuko wangu ambaye ni mke wa mtu. Nitawapa mrejesho itakavyojiri.

Wale tunaokula wake za watu tuwe makini sana sana sijui hili saga litaisha vipi...Kwa sasa nipo zangu Mukendo Musoma nisikilizie ndani ya siku mbili tatu
Tunakumbushana!!!!!!!!!!! Umepata faida gani??????? Mzee una bahati sana na wake za watu!!!!!!!!!!!!!

Nimeamini wake za watu wanaliwa sana misibani. Amini hili kwa 100%

Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu nikafanikiwa kupata namba zake ambapo alinieleza kaolewa mkoa jirani na alikuwa kapewa ruhusa na mmewe...

Mke kwenda kwenye party ya harusi usiku mume akiwa safari

Hiyo Kuna dada mmoja tumejikuta washkaji wanne tumeshapita nae bariadi bila kujuana mpaka tulipokuja kujuana baadae.Ni muuza matunda.Ana shape la maana na kaolewa na fala mmoja hivi.Huyu dada Huwa hakosi mialiko na ushiriki wake kwenye harusi za watu ni mkubwa mno.Kwa kifupi Huyu dada utokaji...
 
Wewe jamaa mikasa yako huwaga ni story za eric shigongo., Mwenye kufikwa na shida hawezi kujianika kiasi hiki (code ziko open),maana lazima awe na hofu ya kuchotwa kama maji kwenye mtungi na kuhalalisha kuwa hii ni chai umetaja na sehemu ambayo upo kwa sasa wakti umeshaharibu., Itoshe kusema wewe ni mtunzi wa hadithi na hii si ya kwanza kuiona kutoka kwako.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Trip siyo bunda kibara mkuu hiyo ni code
 
sasa mkuu una expose hadi identity za watu kabisa? mbaya zaidi unadeclare kwamba mke wa mtu ushamla hadi mtandao pendwa? Jamaa we huna akili na ushikishwe ukuta tuu maana hamna namna sasa.
 
Habarini za weekend Watanganyika, mwaka Jana nilikutana na dada mmoja mmoja Wilayani Bunda ambaye mmewe ni mmiliki wa hiace zinazoenda bunda-kibara-kisorya. Baada ya kupeana mawasiliano tukaanza chats za hapa na pale. Baada ya kuwa tumezoeana sana akaanza kulalamika kwamba mmewe kapata chombo kipya dada Fulani mtumishi wa serikali mpaka yeye kamtelekeza kiaina na hata haki yake ya ndoa anaipata kwa shida hata mara moja moja kwa mwezi tena kwa malumbano.Baada ya kama miezi mitatu tukaanza mahusiano ya kimapenzi,ambapo huyo dada aliamua kuniachia Kila kitu kwenye mwili wake ambapo nilikula mpaka mtandao wetu pendwa kama mara nne hivi.

Muda mwingi tulikuwa tukitaka kuwasiliana nilikuwa namtafuta kupitia messenger na siyo kwenye text za kawaida kwa kuhofia mumewe kumkamata. Wakati mwingine kama haupo hewani nilikuwa namtuma family friend wao mmoja ambaye ni mkubwa kwake kiumri na ambaye pia kaolewa.

Sasa kuanzia March mpaka mwezi May mwaka huu mawasiliano yetu yakawa ya kusua sua, nikahisi pengine na masuala ya ubize kuingiliana maana kuna kipindi nilikimbia kwenda maeneo ya mgodi wa buhemba kuhangaika na utafutaji.

Sasa Jana nilimcheki messenger na pasipo kumuuliza chochote nikamrushia picha yangu nikiwa kitandani, nikajibiwa nice. Nikajiuliza mbona siyo kawaida yake kujibu kimkato hivyo. Ilikuwa mida ya saa 5:20 usiku, ilipofika mida ya saa 5:27 nikapigiwa simu kupitia fb messenger, sikujibu.

Nikaangalia profile aliyepiga ni mmewe. Nilimfahamu maana yule dada alikuwa tayari kashanitumia picha zake. Leo kuanzia asubuhi mpaka muda huu jioni kashanipigia mara 32 messenger na ninahisi aliichukua simu ya mkewe.

Sasa najiuliza kama kachukua simu ya mkewe na ikiwa atazama messenger kusoma text zote mke atakuwa kwenye hali gani maana mle kuna Kila aina ya uchafu kuanzia kutumiana picha chafu, video chafu kusifiana uchafu wetu wote.

Lakini pia atakuwa kamfahamu family friend wao mmoja ambaye mbali ya kuwa wanasali kanisa moja hapa mjini pia ni mama anayejiheshimu sana kimuonekano na pia ndie tulikuwa tunamtumia kwa mambo yetu mfano mimi kumpa vizawadi na kupeleka kwa mchepuko wangu ambaye ni mke wa mtu. Nitawapa mrejesho itakavyojiri.

Wale tunaokula wake za watu tuwe makini sana sana sijui hili saga litaisha vipi...Kwa sasa nipo zangu Mukendo Musoma nisikilizie ndani ya siku mbili tatu
Jiandae kufanyiwa ulichokuwa ukimfanyia mke wa mtu.
 
sasa mkuu una expose hadi identity za watu kabisa? mbaya zaidi unadeclare kwamba mke wa mtu ushamla hadi mtandao pendwa? Jamaa we huna akili na ushikishwe ukuta tuu maana hamna namna sasa.
Mkuu nimeficha code hizo mnazoona nimeexpose ni code fake acheni ujuaji
 
sasa mkuu una expose hadi identity za watu kabisa? mbaya zaidi unadeclare kwamba mke wa mtu ushamla hadi mtandao pendwa? Jamaa we huna akili na ushikishwe ukuta tuu maana hamna namna sasa.
Mkuu hakuna nilipoexpose code kwa uwazi.Hizo zote ni code fake.Shida humu wajuaji mmekuwa wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom