Mke wa mtu huyu


r u mentally okay?
 
Unamatatizo wewe. Matatizo yako unayoleta ni ya kiutaira.
Una uhakika gani kama huyo mwanamke ni dokta? Kama ni dokta, basi dokta mcharuko.
Na munauhakika gani kama kaolewa? Danganyaneni tu, wewe mwenyewe ndio mwenye tatizo hilo

Naona JF imeingiliwa, sawa nimekuckia na asante kwa mchango wko Somoe.
 
Mke wa mtu ambaye amezaa watoto wawili na huyo mume wake na anapete ya ndoa na uchumba.
yawezekana ni wewe mkuu hadi unajua anapete mbili angalia utaliwa 0713, (nadhani sijatukana)
 
Duh!!!! Bongo ina mambo kweli!!!!, Sasa mtawafanya watu wenye wake au waume zao wenye kazi ambazo zinahusiana na shift za usiku kuwa wasiwasi kwamba wanaliwa mali zao, Pole kaka wa Bandari, fungua macho mzigo unaliwa huo na serengeti boy (27yrs)
Pia naomba kuuliza , hivi mirungi inahusana na kupungua kwa nguvu za kiume?
 
umeshasema demu ni maharage ya mbeya,lazima atakuwa na msururu wa wanaume, jamaa yako lengo lake ni kuvunja amri ya sita,si ameshapata basi asepe zake!kuendelea kuwa naye ni kujitafutia matatizo tu..... ukimwiiiiiii,tusiamini condom sana jamani,na wala tusijipe moyo kuna ARV's,kumeza dawa maisha yako yote c mchezo! antibiotic za cku tano tu wengi hatumalizi dozi
 
Ninaamini ushauri wako ww mwenyewe kama rfk yako na 'mwanao' una nguvu kuliko ss ambao hatumjui na yy hatujui,play ur part kumnusuru na majanga yanayoweza kupata,mke wa mtu anauma sn.
 
Huyo rafiki yako atakapokuja kugundua kuwa huyo mke wa mtu alipata HIV na kwa visingizio vya mumewe kutojiweza anatoa chenji kwa kila anayekuja, ndipo huyo rafiki yako atakapojua mshahara wa dhambi ni mauti. Na wewe atakutizama katika sura tofauti. Siku utapojua kuwa hata huyo anayesemwa kuwa jogoo wake hawiki naye pia anatoa chenji za HIV kama hana akili nzuri hutatuambia hapa jamvini itakuwa siri yenu
 
Nakuona ka una kamashaka flani hiviii kwa jinsi jamaa alivyokuwa muwazi kwa rafiki yake.... AU WE NDO UMEAGA UNAENDA BAGAMOYO..??
ahahahahahahaaa...kaka kama umepiga mulemuleeeee..well said nothing to add up.
 
Mchango wangu ilikuwa ni matusi, bora nimtukane kimoyo moyo!

pamoja na kuzaliwa kariakoo na kukulia magomeni naheshimu sana ndoa
mwee nlikuwa najuaga wanawke hawatoki nje ya ndoa mpaka mwaka juzi nikahakikisha labda mazingira nliyokulia
he he nicheke mie hata humu wapo kibao wanagegedwa kila siku tunawachora tu wanavyowaganda
wakija humu kwenye thread wanajifanya malaika
msonyooooo wa kichina
 
Mzinifu huziniwa. Ushari Jee mkewe akipata jamaa mwingine na akaja kukuomba wewe ushauri Jee utamwambiaaje? Sababu some of this idiotic doesn't add up
 
Kama umemshauri aachane naye na bado hataki , sikio la kufa halisikii dawa mwache, Ina maana huyo rafikiyo amedhamiria kuharibu ndoa ya watu, angekuwa ni mkewe anafanya hivyo angejisikiaaje??? Hebu muulize hilo swali?
 
Nina mashaka na Uandishi wko..
..kaka mkubwa sasa hapo shaka ya nini..? ungesema uandishi wako unamakosa, ungeeleweka. Nami nina mashaka na uelewa wako wa lugha ya kiswahili fasaha na matumizi yake....
 
Katika uzinzi wote niliowahi fanya.kwa wake za watu ni noma sipendi na naona km uchafu vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…