Mke wa mtu huyu

na mleta mada hujamgundua tu, maana nahisi ndiye anayemmega koligi! LOL
kama ni hivyo, he got to grow kwakweli, maana sioni kama ni sifa kitu anachofanya. he thinks anamchora huyo Dr. wkt anajichora na yeye pia.

Hapana sio mimi ambaye nina uhusiano na huyo mke wa m2 Kaunga ila ni rafiki yangu kipenzi ndiye anadate na huyo mke wa m2, bnafsi cjapendezwa na ndio maana aliponieleza mkasa mzma nikamshauri na kumuahidi kuendelea kumshauri na kuhakikisha kwmb anaachana na huyo mke wa m2 ASAP ...
 
Jamaa mwenye mke keshapita hapa.. Sasa hvi yuko bize ana koki.. Ukisikia paaa .. Ujue kashindwa kulenga!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ngoja na mimi nikamtafute kumbe ni loose ball kama na nanii wa humu mmu
 
Duh!Siku hizi madaktari wanaingia kwa shift?
 
madaktari na manesi usioe kama una roho ndogo! night zinawafanya wafanye vitu vya ajabu
 
Khaaaa huyu si mke wa mshkaji wangu ruta huyu......kheee..
 
Show me your friends and I will tell you who you are
 

We umeshindwa kumwambia neno moja tu amwache je na wengi wakikwambia aendelee naye nawe utamshauri hivyo? vitu vingine havihitaji mawazo ya wengi, halafu kama sikosei we ndo uliekuwa unakuja na mada zako za kukataliwa na wasichana hukidai mademu wa kibongo wa shamba naona umeamua kuhamia airtel
 
Kama mke ana ukimwi basi na yeye anaupata, unataka ushauri kwani yeye na utu uzima si anajua anachofanya au? Tena nitakataka ya wengi mmmmhhh anapewa pesa huyo.
 
Hapo mwenye matatizo ni huyo rafiki yako. Huwezi kumlaumu huyo mama kua kakolea ,sababu huyo rafikiyo kamtafuta mdada kwa kupewa maelekezo tu kuwa ni maharage ya mbeya. Akumbuke kua huo sio ujanja what goes around comes around malipo hapahapa duniani nae atatendwa tu wakati fulani tena atakua amesahau aliyowahi kutenda tena itamuuma sana kumbuka mtenda akitendewa hudhani kaonewa. Ukimwi utaisha jamani kwa hali hii , ushaambiwa ni mke wa mtu unatafuta nini si tabia chafu tu na laana inamsumbua. Yaani kama kweli ni rafiki yako mwambie huo sio ujanja anajilaaanisha na magonjwa yasiyo na tiba yanamsubiri.
 
Isije ikawa subject ni wewe ila utatucheza akili. Wee endelea tu kama hujatolewa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…