Ni hatari aisee!mke wa mtu sumu,afanye anachofanye avunje huo uhusiano kabla hajachelewa zaidiHabari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.
Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.
Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche Bmoyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya Bmoyo
Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae
WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..
Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.
Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.
Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche B'moyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya B'moyo
Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae…
WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..
Nakuona ka una kamashaka flani hiviii kwa jinsi jamaa alivyokuwa muwazi kwa rafiki yake.... AU WE NDO UMEAGA UNAENDA BAGAMOYO..??Huyo "rafiki yako" alikupa hizo details zote? Kweli you two are close!
Na kweli, ila ni loose ball kwa mumewe, maana hawatakiwagi kulala na pichu hawa... Tena kuna wengine mume akigeuka usingizini tu, yeye anapanua paja hata kama jamaa hakuwa na mpango wa kuchapa mida hiyo..wake wa watu wengi ni ma loose balls
Na huyo mwanamke aliyeaga anaweza akawa Mwali, ndo maana namuona ka ana kawasiwasi flanii hivi jamaa alivyomwaga hicho kisiri kwa rafikiyeHapana ni huyo Mwanamke amemuaga Mume wke amepata safari ya B'Moyo.
Ni kweli, lakini ushanikopi hata siwezi kuedit kopi yako. VERY SORY.... HUTAONA TENA...TAFSIDA plssss