Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Habari,
Kutokana na maisha kuwa magumu, dada mmoja mke wa mwanamtaa mwenzangu ameamua kumuomba mumewe nae awe dreva boda boda. Hii imekuja baada ya kuona majukumu ya mumewe yamekuwa mengi na pesa ya kukidhi maisha yao, hasa kuwasomesha wanawe wawili, imekuwa changamoto.
Mdada huyo kaja na proposal ya kukopa pesa vikoba aongezee na ile aliyopata kutoka mauzo ya mahindi anunue pikipiki aingie mtaani kusaka shekeli.
Wazo langu,
Ni wazo zuri lakini kwa mazingira yetu naona kama itakuwa changamoto ktk ndoa yako. Si kila kazi mwanaume afanyayo mwanamke nae inamfaa.
Shukrani.