Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.

Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.

Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.

Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.

Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?

Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai

Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
Delete kabisa no yake na mblock huyo hapo unabip kifo.
 
Ushauri kama huu, wanaoomba ni wavulana! sio wanaume! your age don't lie!
 
Wewe kama ni mtaalamu wa kuwapa mimba mpe, lakini malipo ni hapahapa duniani
Hahaahaha!!!umemaliza kila kitu mkuu,,malipo ni hapahapa duniani,na watoto wa hivyo huwa wanafanikiwa sana,halafu na wewe unajifanya kwenda kudai mtoto,utakula shaba ufe siku siyo zako kabsa..dakeki..
 
kuepusha ugomvi muite mume wake mpe iyo mimba ampelekee mke wake.. au mpe iyo mimba wakati mume wake anaona na anajua ulichompa ni minmba tu wala si kingine...la sivyo kaa na mimba yako usimpe mtu.
 
Huyo anataka kukuingiza katika matatizo
Mwambie atulize kichwa aache kuwaziabkimba aende kuishibvyema na mumewe wapeana raha na apate mtoto huyo.

Kaa mbali na huyo rafiki hasiyejali kukuingiza katika matatizo.. binadamu wanabadilika ikiwa inabidi yao yasonge.
 
kuepusha ugomvi muite mume wake mpe iyo mimba ampelekee mke wake.. au mpe iyo mimba wakati mume wake anaona na anajua ulichompa ni minmba tu wala si kingine...la sivyo kaa na mimba yako usimpe mtu.

Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.

Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.

Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.

Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.

Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?

Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai

Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
Unahatarisha maisha
 
Wewe ni kidume tumia akili!! Ukithubutu huo upuuzi anaokushauri rafiki ako, utakutafuna maisha yako yote.

Kama mnatakana kweli Mwambie huyo mwanamke aombe taraka waachane tu kama mambo yamemshinda ila sio icho anachokushauri.

Think twice
 
mkuu sitaki kuamini kuwa hii sio chai ..!!

ila Mara nyingi wanawake wanaokutwa na mazingira hayo ya waumezao kutokuwa na uwezo wakuzalisha .huwa wanawapa papuchi mashemeji zao ..ili product ya mtoto itakpo toka ipate kufanana na mumewe walau kidogo

sometymz watoto huwa wanafanana na ndugu wa mume au wamke ..kama mimi baba yngu mzazi huwa ananiambia kuwa nimefanana mnoo na marehemu kaka yake ambaye alifariki zamani sana wakati ambao hata baba yngu na mama yangu walikuwa bdo hawajawahi kukutana..!!
na alifariki akiwa anamiaka 20..

yaani MZEE huwa akiniona mimi anafeel kuwa yupo na kaka yake

Naona umetanguliza kujitetea haraka sana hahaha
We jitetee tu ‍♂️‍♂️‍♂️
 
Naona umetanguliza kujitetea haraka sana hahaha
We jitetee tu ‍♂️‍♂️‍♂️
hahaaa umeshtuka mkuu

laiti ingekuwa dingi mkubwa alikuwapo hai before wazazi wangu hawajakutana ..ningesema kuwa dingi mkubwa alicheza rafu
but mama yngu hajwahi kumjua ..na mimi ndio cmjui kabisaaa
 
Back
Top Bottom