Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Wewe ni kidume tumia akili!! Ukithubutu huo upuuzi anaokushauri rafiki ako, utakutafuna maisha yako yote.

Kama mnatakana kweli Mwambie huyo mwanamke aombe taraka waachane tu kama mambo yamemshinda ila sio icho anachokushauri.

Think twice
hahaaa muache akakatwe uume ..anahamu yakuwa kilema wa uchi .tehee
 
Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.

Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.

Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.

Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.

Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?

Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai

Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
Mkuu mpe namb yang Niko Arusha Sakina mimi sina shida nahilo nipe kazi
 
hahaaa umeshtuka mkuu

laiti ingekuwa dingi mkubwa alikuwapo hai before wazazi wangu hawajakutana ..ningesema kuwa dingi mkubwa alicheza rafu
but mama yngu hajwahi kumjua ..na mimi ndio cmjui kabisaaa
Hii nidunia mkuu!! Ohh
 
Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.

Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.

Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.

Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.

Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?

Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai

Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
Mwambie aachike umuoe ndo umpe mimba. Otherwise kaa mbali na mke wa MTU. Uzuri ushaona madhara mbele
 
Kama mwanamke alitoa siri ya Le mutuz unakataaje jambo dogo kama hili au wewe huwafahamu wanawake?

Umeusoma Uzi vzr, Mr anayo pesa ya kutosha. Kwani anashindwa kumtega hiyo kijana na akabeba mimba kimya kimya.Mind your lips
 
Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.

Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.

Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.

Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.

Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?

Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai

Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
usifanye kabisa hivyo mwambie waende kupandikiza mbegu regency hospital
 
Back
Top Bottom