Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Mke wa mtu anataka nimpe mimba

mpe tu boss...ila mwenye mke atakapopona na akagundua mruhusu nae akupe wewe mimba aliyopaswa kumpa mkewe!
 
Hapo kwenye haya ya tano ilishampata mtu mpaka sasa anajutia uamuzi wake. Kuna dada moja aliolewa na bwana wa kizungu wakaishi nae hapa kumbe yule bidada alikuwa anachelewa mwanajeshi moja anamchetua. Si akamtia mimba. Mda si mrefu yule mzungu akaamua kuondoka na mkewe kwenda ugaibuni. Kufika kule mwanamke anamwambia ana mimba yake, kumbe mzungu anajijua hana uwezo wa kuzaliza..... kimichotokea huyo dada mpaka sasa anaisoma namba.

Shauri yako wakibanwa wanasema ni ya nani
 
Na kwaakili yako ukaona upost humu!!mbona jibu rahisi sana si unakataa then hakuna haja ya kupost humu..
 
Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.

Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.

Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.

Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.

Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?

Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai

Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
Mrejesho
 
Msaada siyo lazima lift au vocha au buku hata huo nao msaada tuu.
 
Back
Top Bottom