Mke wa mtu ananitaka

Usimpe ataishia kukudharau ndugu yangu! ana much expectetion huyo juu yako so be careful usije dharaurika!
 

Oyaaaaa...

Mzee wa dozi.
 
We shauri yako na nke ya ntu..utafanywa hamna
 
Hivi ile kesi yako ya kubaka kuku iliishaje? kuna jamaa aliniambia mahakama ilikuachia huru baada ya kuthibitisha kuwa una matatizo ya akili, eti kweli?
 
Asprin mbona umepaniki umehisi atakuwa ticha nini. Uliye tu.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana mleta mada katania,lakini kiukweli wake za watu jamani mmezidi,hivi kuna nini? kwani ni lazima ukipata namba ya njemba utake mgegedano? hapa nilipo kuna vijibinti ndo vimeolewa tu masikini ya Mungu kama vitatu vinataka nivigegede. Mie nahisi kuna kaugonjwa jamani. EPUKANA NAYE HUYO HAFAI.
 
mwambie mme wake mapemaa... amchunge mke wak lasivyo usije ukamkamualia bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…