Mke wa mtu ananitaka


Hii nondo πŸ˜€πŸ˜€
 
Malizana nae tu dogo, siku hizi mafuta hayatumiwi tena. Jino kwa jino, uache wosia tu mapema
 

Mimi nawakulaga kisamvu na Wana enjoy sana. Mle kisamvu
 
Mkuu watakufokonyoa samadi hutoamini,, acha kabisaaa hata uone huyo mwenye mke ni mnyonge utatapakaa samadi utajimaliza mwenyewe tu acha kabisaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…