Mke wa mtu ananitaka

Uwe unatembea na Parachute mfukoni ili uwarahisishie kazi ya kula kiboga.
 
Kula mke wa mtu sio sifa.
Utakuja kupakatwa bila kilainishi.
Miaka ya 2020 kulikua na kijana maeneo ya mbezi mwisho anaitwa Omari Jenga, alikua anatembea na mke wa sheikh mmoja malamba mawili. Yule sheikh alimuonya Mara kibao yule kijana lakini hakusikia. Siku ya siku alitafunwa mbaya zaidi sheikh alikodi mateja wa pale jangwani akawanunulia viroba tu wadau wakamalizia ugwadu wao kwa jamaa pale Lubumbashi.
Achana na mke wa mtu!
 
Duh hicho kinyaa cha kushare na mtu na huku unajua kabisa hivi hauna wewe ๐Ÿคฎ
 

Umeandika kwa uchungu tajiri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ