Mke wa mtu ananitaka

Achana na wake za watu.
 

Uwakika mzee.
 
Mzee kitabu chako hakina ile sheria ya kutokula mke wa mwanaume mwenzako?...Niggah watu wamepambana wameoa na we unakula bila wasi!...

Eti kataka mwenyewe!! ni upuuzi akili zako haziwezi kuwa sawa na mwanamke, wanaokula wake za watu huwa natamani tu waliwe.ndo adhabu inayowafaa
 
Broo kuna DHAMBI nyingine sio zakutangaza.
 
Acha mazoea na mke wa mtu Mkuu, ishinde tamaa kulinda heshima ya Mwanaume mwenzio
Nakubali,nimejifunza the hardway hili swala mkuu,iliwahi kunitokea shida kazini miaka flani huko nyuma,mume alikuja kunireport ofisini kwangu Kwamba natembea na mkewe,asee bila hekima ya bosi wangu nadhani si kupoteza kazi tu Bali ningefedheheka kabisa hata na ukoo wangu mzima,Mungu atupe nguvu vijana!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…