Andaa kikopo cha Rays au VaselineJamani kuna mke wa mtu anataka niwe hawara wake ananitumia picha zake za uchi, juzi mumewe ameona text zangu ananiomba niachane na mkewe ila mkewe ananilazimisha mpaka ameamua kutumia simu ya ndugu yake ili mumewe asijue, ila mimi naogopa kula mzigo wa mtu nifanyeje ili anielewe bila kunichukia?
Una mwonekano wa kimalaya. Badili tabia yako atakuogopa na kukuheshimu. Ukiona wanawake wanakufuata kama nyuki basi jitazame upya, una haiba ya umalaya.Jamani kuna mke wa mtu anataka niwe hawara wake ananitumia picha zake za uchi, juzi mumewe ameona text zangu ananiomba niachane na mkewe ila mkewe ananilazimisha mpaka ameamua kutumia simu ya ndugu yake ili mumewe asijue, ila mimi naogopa kula mzigo wa mtu nifanyeje ili anielewe bila kunichukia?