Mke wa mtu ananiomba niwe hawara wake

Mke wa mtu ananiomba niwe hawara wake

mhhhh tafuta vilainishi mkuu hata vaseline utakuja umbuka??? hakuna kushare hiyo kitu ati.

halafu unaniogopesha nikija kwenye tongozo kumbe utakula na ndugu zangu aseee.

mhhhh ngoja nitafakari.
nilikua naimba tu jamani
 
Kama hii story hujatunga hebu npm namba ya huyo mke wa mtu nmtafune afu ntakupa mrejesho
 
Hakunaga ushemeji tunakulaga..kuleni sana yawakute haya
 

Attachments

  • FB_IMG_1472129469296.jpg
    FB_IMG_1472129469296.jpg
    40.7 KB · Views: 58
mhhh jamani jamani taratibu na hayo maneno tunataka ndoa zidumu ati.

acha kumchochea nakuomba. nitakupitia ofisini nikuombe vizuri uache hii tabia.


hahahahahhaahha
hahahha. karibu.
 
Jamani kuna mke wa mtu anataka niwe hawara wake ananitumia picha zake za uchi, juzi mumewe ameona text zangu ananiomba niachane na mkewe ila mkewe ananilazimisha mpaka ameamua kutumia simu ya ndugu yake ili mumewe asijue, ila mimi naogopa kula mzigo wa mtu nifanyeje ili anielewe bila kunichukia?

nipe namba yake nikusaidie kumkula...ana genye na wewe una mbwelambwela utadhani dyudyu yako umeiacha nyumbani.
LETE NAMBA YA KE PM NIKMSAIDIE KUMKUNA ATAKUWA ANAWASHWA KIPELE....
 
Kuwa Makini kiongozi vinginevyo utaliwa wewe bila Huruma! Kiufupi huo mchezo achana nao mara moja ila kama unatafuta ujiko poa tu kutuandikia!
 
Achana nae
Mwambie yeye ni m'baya, hupendi wanawake km yeye
Alf umtolee kasoro nyingii zilizopo kwenye mwili wake, hatakutafuta tena
 
nipe namba yake nikusaidie kumkula...ana genye na wewe una mbwelambwela utadhani dyudyu yako umeiacha nyumbani.
LETE NAMBA YA KE PM NIKMSAIDIE KUMKUNA ATAKUWA ANAWASHWA KIPELE....
Come inbox
 
Mie ilishanitokea Mke wa mtu tena Ana watoto wawil lakin aliniganda mpaka nilipo msemea kwa mama k ndio akaniganduka Mke wa mtu hata urafiki haulipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom