Ok... nimekuelewa sijakusoma vizuri.... Sorry. Naomba nikuulize swali.... Leo hii unarudi kwako unakutana na mumewe anakuambia kapata safari, na unahakikisha kabisa kua mumewe kaondoka. Unarudi kwako ile uingie ndani HAMADI! Yupo kwko naked sebuleni kwako anaangalia movie with a drink in her hands... anakuna tu anakuambia "I am sorry nimekuja bila taarifa, nimeboreka peke yangu nyumbani nimeona jioni hii nii spend hapa kwako" Utafanya nini??
- Utaingia kusanya nguo zake na kumwambia avae na kuondoka tena kwa Ukali!
- Utaonesha kutojali uwepo wake (huku roho yako na biologia yako vikishangilia) kua hatimae siku imefika...
- Utaondoka hapo kwako ili umpigie simu kua ukute kaondoka
- Ama tu mara moja utavua nguo na wewe ili muweze banjuka...
Naomba nijibu kwa ukweli, tupo jamvini hapa hakuna haja ya pretense....