..Mke wa mtu ameniota.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

..Mke wa mtu ameniota..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SI unit, Mar 6, 2012.

 1. S

  SI unit JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ni mzuri sana, ana baby face, haoneshi kama ana mume kwa wale wasiomjua. Ninamheshimu naye ananiheshimu na pia namheshimu mume wake kama shemej yangu coz tunafahamiana kwa karibu! Bibie huyu anapenda sana kampan ya "kiumeni" ndio maana nimejikuta nipo nae karibu.
  ...
  "Shikamoo dada" ndiyo salam yangu kwake coz amenipita umri about 13 years.
  ...
  Juzi kati nikapokea sms kutoka kwake inasomeka hivi:
  "Nimekuota tunakula denda"..
  Niliipotezea ile sms, sikumjibu.
  ...
  Leo asubuhi tumeonana nikamsalimia akajibu kavukavu, kama mtu ambaye yupo "off mood". And it is true aliponiona alibadilika tofauti na nilivyomzoea.
  ...
  Muda si mrefu amenitext "KWA NINI SIKUJIBU SMS YAKE?"..
  ...
  Kiukweli nakosa majibu ya kumpa, sitaki nikose kampani yake. Naombeni mwongozo wanaJF, nimjibu vipi coz nimeishiwa vocabulary za kumjibu!
  ...
  MCHANA MWEMA
  ...
  SI unit
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  SI Unit samahani kama nitakukwaza ila naomba acha unafiki.... Mwanaume yeyote yule hata ambae hana interest ya kuenda popote na huyo mdada/mama lazima angejibu hio text.... Na kama asingejibu wala asingemtafuta huyo mwanamke for the simple reason kua alikua hajavutiwa nae na wala si type yake. Hivo hicho kitendo cha kusema ulimkaushia then wewe mwenyewe ndio ukamtafuta hali alikuandia message ya wazi ya kukutongoza ili muingie katika maongezi na ushawishi wa kudo inatiia walakini kwa kweli....
   
 3. edcv

  edcv Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ..simple, mbona sms yenyewe c swali? mwambie not all dreams come true(especially hii coz ni ya mchana). Ushauri kwa ww, hata kama utamic company yake-not all friendships are profitable for you...Yatakutokea makubwa na utajuta kumfahamu huyo mdada.
   
 4. S

  SI unit JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hebu nambie ningemjibu vp manake mm nilikosa starting point na hii inatokana na heshima yangu kwake na kwa mumewe, pia nature ya stori tunazopiga au kuchat nae..
   
 5. S

  SI unit JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Thank you but ni family friends na mumewe ni best angu pia, ndo maana nashindwa kujua nikikosana nae itakua na effect gan kwa shemej(mumewe)
   
 6. Ec mwakisopile

  Ec mwakisopile Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  mke wa mtu sumu
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Have a nice lunch
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kulana denda ni uchafu uliopitwa na wakati, unakula kitumbuwa na yeye anakula ndizi. Mwambie aka ote tena.
   
 9. S

  SI unit JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Thank you Shemale KABAKABANA..
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unaanza pole pole kutaka kumkaribisha shetani.
   
 11. S

  SI unit JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kati ya denda na chumv*ni wap pachafu..
   
 12. J

  Juliani Mumbi Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mzee lakini ndoto siku zote si kweli
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ni wanawake wachache saana wapo that vulgar hasa kama hivo umeniambia ni mke wa mtu... Hadi alikutext kua alikuoata mwala denda ina maana siku zoote za nyuma mshazoeana to the extent you are comfy with one another na aweza tuma hio text. Wasema uliishiwa pose sababu ya heshima ka mumewe..... hio ni hatari kama it is the only reason (heshima kwa mumewe) ndio cha kukwamisha to go further you are bound to sleep with her kama kweli ataka. For ungeniambia kua reason ni heshima ulio nayo juu yake.... Ningejua lazima utamkwepa.... Hapa ina maana si ajabu ushawahi mvua ngua na kufanya nae mapenzi katika fikra na ndoto zako... and if you do that about a woman, I belive wewe kama mwanaume itapotokea tu chance hamasishi na ya kuwezesha you are ready to love your fantasy which in this case is sleeping with her... to quench you thirst.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Denda chafu sana. na ukisikia testi ya chumvi ujuwe huyo akienda haja ndogo hatumii maji ya kutosha, chumvi kule hakunaga kabisa, ukisikia chumvi ujuwe kojo hilo limebaki.
   
 15. S

  SI unit JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ADI nielewe, nimesema heshima kwake na kwa mumewe, hujasoma vizuri..
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Usisikie, anakuwa mtamu kweli kweli, tena ikiwa mnapiga wote live wewe na yeye na mumewe.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ukimla ndio heshima itazidi, nani aliokudanganya itapunguwa? Enzi za utoto nilikuwa nalila anti moja jirani yangu, nikimuona tu wa kwanza mimi kumpa shikamoo, yeye na mumewe. Heshima nyingi tu. Wewe kulaga tu.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ok... nimekuelewa sijakusoma vizuri.... Sorry. Naomba nikuulize swali.... Leo hii unarudi kwako unakutana na mumewe anakuambia kapata safari, na unahakikisha kabisa kua mumewe kaondoka. Unarudi kwako ile uingie ndani HAMADI! Yupo kwko naked sebuleni kwako anaangalia movie with a drink in her hands... anakuna tu anakuambia "I am sorry nimekuja bila taarifa, nimeboreka peke yangu nyumbani nimeona jioni hii nii spend hapa kwako" Utafanya nini??  1. Utaingia kusanya nguo zake na kumwambia avae na kuondoka tena kwa Ukali!
  2. Utaonesha kutojali uwepo wake (huku roho yako na biologia yako vikishangilia) kua hatimae siku imefika...
  3. Utaondoka hapo kwako ili umpigie simu kua ukute kaondoka
  4. Ama tu mara moja utavua nguo na wewe ili muweze banjuka...


  Naomba nijibu kwa ukweli, tupo jamvini hapa hakuna haja ya pretense....
   
 19. S

  SI unit JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kumbe ulikua unadendeka(enzi hizo coz umesema sa'hv ni uchafu) kabla ya kusafisha kinywa ndo maana ulikua unadendeka mabaki ya "menyu"
   
 20. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  mkuu si unit,wake za watu ni sumu kaka,nakushauri uwe mbali na huyo dada,acording to you explanation it seams that huwa mnatumiana vjisms vya kimahaba,na yaonekana hata wewe unamtaman huyo dada.let me advice you,kwa kuwa ulishamvua nguo kifikra we mjibu tu.NDOTO NZURI KWEL KWEL,then usikie atakwambiaje.akikwambia tufanye live action,mwambie unamuogopa jamaa yake.akizidi du nae coz atakuwa ameyataka mwenyewe.
   
Loading...