ππππππππ Siku zote huwezi shindana na wenye mamlakaHeshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Wakati huo jpm akiona hizi tabia anawatoa tu kwenye system until watakapojitambuaHeshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Halafu wote wa kuja wanataka kuuana kwenye jimbo la watu, Arusha kataeni wahuni hao.Uchaguzi ukiwa huru na haki si Gambo wala Makonda atakayeshinda ubunge.
Hili lipo wazi kabisa.
Duh!...Heshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Hiyo miongozo ingefanyiwa kazi watumishi wengi wa umma wangeipata.Kwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
πππPreGE2025 - Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7) Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho...www.jamiiforums.com