KACHINJA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,263
- 870
WooooiiiiWewe tena
Akome kabisa la atakufwa na uchu wakeKinachokufanya uchungulie madirisha ya watu ni nini? Ukomeeee
Akufwe mara ngapi usikute akichungulia anaenda kujipigia puchuAkome kabisa la atakufwa na uchu wake
aiseeAkufwe mara ngapi usikute akichungulia anaenda kujipigia puchu
Hahahaaaaa...Akufwe mara ngapi usikute akichungulia anaenda kujipigia puchu
HeeNi kwawaida kwa rika lako kidudu kinakuwa kinasimama simama bila mpango hata ukiona jogoo anakimbiza tetea kidudu kinasimama, tafuta mwanamke wako akikuona nae ataacha
. bora usingelalamika tu mkuu mleta mada. Utapewa maneno ya kila rangii huku. Mawee si Kwa makavu haya, Nimecheka sanaaKinachokufanya uchungulie madirisha ya watu ni nini? Ukomeeee
Ushauri wetu sio sheria atachagua mwenyewe kuendelea kumla chabo mke wa mpangaji mwenzie au kumpotezea tu nduguHee![]()
![]()
. bora usingelalamika tu mkuu mleta mada. Utapewa maneno ya kila rangii huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio hapo sasa!! Kuchungulia achungulie yeye alafu amlaumu dada wa watu!!!Sasa mtu yupo chumbani kwake unashindwa kumwelewa vipi au ni tamaa zako tu za fisi.
Kwanini unachungulia madirisha ya watu?Utakuja kumwagiwa tindikali jiangalie.
Shobo Dundo
Ni kwelii. Kwa ushauri huu wa wengi asipompotezea basi, basi atakua kaamua kutake risk. Shauri yakeeUshauri wetu sio sheria atachagua mwenyewe kuendelea kumla chabo mke wa mpangaji mwenzie au kumpotezea tu ndugu
Sasa nisijue puchu kwa nn kila siku mnaleta mabandiko humuHahahaaaaa...
We nawe mpana kama nini unayajua hadi majambo ya puchu
SahihiNi kwelii. Kwa ushauri huu wa wengi asipompotezea basi, basi atakua kaamua kutake risk. Shauri yakee
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuuaisee
Nimefumba macho hapaSasa nisijue puchu kwa nn kila siku mnaleta mabandiko humu
Akome kuchungulia madirisha ya watu mtu asijiachie chumbani kwake kupata hewa eti anategwa